Home
Unlabelled
bei ya madafu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi siyo mchumi lkn kwa kukaa kwangu nje muda mrefu na kulinganisha huku na Tz ni kwamba Tz kuna artificial market ya dollar (US$). Dollar Tz iko insulated na fluctuations zinazotokea nchi nyingine. Hii ni kwa sababu wenye nyumba wanataka $, tiketi za ndege wanataka $ (dollarization of the economy). Kwa hiyo kuna artificial demand ya $. Dollar ina mzunguko tofauti Tz ikilinganishwa na ule wa kimataifa. The opposite is true, Yen ya Japan imepanda sana thamani katika soko la kimataifa ikilinganishwa na dollar, Euro na Pound. Mathalani, kuna wakati $1 = Yen 110, lakini leo $1 = Yen 90. Lakini kupanda kwa Yen hakuonekani katika shilingi. Miaka yote Yen 1 imebaki kuwa TSh 10 au 11! Kwa hesabu za haraka haraka, km $1 = Yen 90 na $1 = Tsh 1342, basi Yen 1 inatakiwa kuwa = Tsh 15. Lakini kwa vile hakuna shirika la ndege linauza tiketi kwa Yen, au mwenye nyumba anataka kodi ktk Yen nk basi Yen imebaki kuwa 10 au 11! Kwa hiyo wadau wa ughaibuni wakati mwingine tunalazimika kubadili Euro, Yen, Pound na kuwa $ kwanza kabla ya kurudi Bongo ili kupata exchange rate nzuri.
ReplyDeleteKama nimekosea, wachumi mtanisamehe na kunisahihisha.
Hiyo canadian vipi hapo maana huku tumebanana na mnyamwezi hakuna tofauti hivyo..lakini bongo ni 1000 sio mchezo...
ReplyDeletena kweli mdau hapo juu cadian dollar tumebanana na wanyamwezi sana sana dawa nikutanua nazo hukuhuku full stop!
ReplyDelete