sio pengine ila magomeni mapipa jirani na barabara ya morogoro road.
mabon taun wengi utawakuta hapo 24/7

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Delux hapo. Je Shibabu Hotel hapo pembeni bado ipo? Na Kule ng'ambo je Butiama Restaurant ipo? Migo Migo oyeee!!!

    ReplyDelete
  2. maborn town watoto wa mjini= to MATAPELI WA MUJINI

    ReplyDelete
  3. mwana usinikumbushe na siku kumi na 5 natamani kupaa. after 4y

    ReplyDelete
  4. hakuna hotel inayoitwa "shibabu" hapo mapipa. Watu wengine bwana... watu mmezaliwa kimbira huko mnataka kujifanya mmezaliwa mapipa.

    ReplyDelete
  5. Fagilia babake yaani michuzi wewe balaa nakumbuka hapa pombe ilikuwa mtu kwao ni kila jioni kuna kula pombe supu balaa baba Dodiii wa magomeni wapi weeeeeeeeee najua bado upo post kama bado unanikumbuka tuwasiliane mtu wa vipodozi. xx

    ReplyDelete
  6. Hee!!DElux bado ipo? Tangu zamani hapo ni kjiwe. Nakumbuka nilikuwa nikienda pale miaka ya 1980 hadi 1990. Baadhi ya jamaa tukinywa pale na kutia story enzi zile za Mwalimu za uhaba wa vitu lakini socks zimejaa fedha. Pale delux baadhi ya members mmojawao ni Christopher Mkabaye marehemu sasa. Mwingine akiitwa Kayombo plumber wakati huo DAWASCO ikiitwa NUWA. Asante michuzi kutuletea taswira hizi. Hebu niambie kule Ilala ilikuwepo KeshaMapendo ikipiga sana muziki wa zamani. Bado ipo?

    ReplyDelete
  7. Kesha Mapendo bado ipo lakini Luther ametangulia mbele ya haki.

    Kweli muda umeenda!! Allah bless.

    ReplyDelete
  8. machangu kwa macheni je bado wapo manaek jirani yaghe

    ReplyDelete
  9. huyo mdau amekosea either ku-type jina ila anaonekana kuwa anajua nini alichotaka kusema, hiyo restaurant inaitwa SHIBAM Hotel( na badala yake aka-type SIBAB) Hapo mambo ya kucheza Domino au Waarabu Wanaita Dumna,nyuma ya Delux enzi hizo kulikuwa na KI-GROCERY cha bia kikiitwa KANKUN. Nawakilisha mzee wa Lango la Jiji.mbegu

    ReplyDelete
  10. KA MGAHAWA KA PEMBENI KANAITWA SHIBAM NADHANI MTOA MAONI ALIKOSEA LAKINI HAIMAANISHI KUWA AMELETWA NA MBIO ZA MWENGE. MI NIMEZALIWA ST FRANCIS IFAKARA LAKINI NIMEKULIA GOMIGO NA NASIKIA TU STORY ZA MPILIPILI CJAWAHI KUKANYAGA NA SASA NIPO BOTSWANA NAKULA VUMBI

    ReplyDelete
  11. Mpili-pili imepigwa nyundo hivyo haipo tena... kwa sasa kuna-kikwangua-anga kinaandaliwa kupanda hapo Mpili-pili...

    ReplyDelete
  12. Hi wewee Tarehe Wed Feb 17, 01:54:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous

    Unasema "hakuna hotel inayoitwa "shibabu" hapo mapipa." Hivi unajua maana ya neno "Typo"? Inaelekea hujui hiyo sehemu wewe ndio mtu wa Kimbira. Wadau wote wameelewa ni Restaurant gani nilikuwa naongelea. Typo hiyo uwe na uwezo wa kuelewa mambo, angalia kwenye keyboard yako heruf "b" na "m" zinakaribiana ni SHIBAM. hapo pilau lake balaa. Shoutout to ChemChem Street, Mkadini Street and Dosi Street. MigoMigo Oyee!!!!

    ReplyDelete
  13. Watoto wa Mujini wapi bwana kabaa kachafu kama jalala!

    Wamiliki hebu onyesheni u-mujini wenu kwa kuboresha mazingira, sio kung'ang'ania sifa za kijinga za utoto wa mujini.

    ReplyDelete
  14. Kwa nyuma kidogo kuna wale kimama wauza samaki na Maandazi, vitumbua bado wapo? Pembeni Bakheressa na duka la kuuza koni ashikrimuu, bado lipo?

    ReplyDelete
  15. Mdau wa kiswahiliFebruary 18, 2010

    Habari mjomba naomba kutoa sahihisho kidogo kuhusu hiyo post hapo juu, jamani naomba tuwe makini sana tunapoamua kutoa post ili wadau waburudike au wafurahi wanaposoma post hizo,pia kuwafundisha. sio barabara ya morogoro road, unaposema barabara tayari ilisha eleweka hiyo road ya nini tena?

    ReplyDelete
  16. Mmiliki wa delux joseph moshy afariki aug 14,2013 mungu amlaze mahali pema

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...