Makamu mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari Tambaza Bi.Rosemary Nyerere akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni rasmi wa sherehe ya mahafali ya kidato cha sita Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei
Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akionesha hundi ya shilingi milioni tano ambayo aliitoa kama mchango wa Benki ya CRDB kusadia maendeleo ya shule ya sekondari ya Tambaza jijini Dar. Kushoto ni Mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo Ndg. Joram Lukwaro
Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akikabidhi hundi ya mchango wa Benki hiyo kwa Mwenyekiti wa bodi ya shule ya Sekondari Tambaza Ndg. Joram Lukwaro huku akishuhudiwa na Makamu mwenyekiti wa bodi Bi.Rosemary Nyerere na Makamu mkuu wa shule hiyo Ndg.Therensi Buyogera (Kulia)
Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei akikibidhi cheti kwa mwanafunzi bora wa mchepuo wa sayansi Bi.Amne Suleiman
Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei akitazama cheti cha kwa mwanafunzi bora wa mchepuo wa PCM Bi.Faiza Juma




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. mwanamke boraFebruary 26, 2010

    well done girls.

    ReplyDelete
  2. mashaallau dada zangu Hijabu zimewapendeza mashaaaaaallah!

    ReplyDelete
  3. mabinti wa kiisalmu,safi sana msome mtoke ujinga na tabia za chuki,,,maana elimu dunia itawakomboa sana

    safi sana kazeni buti mzidi kuwagalagaze wanaume wooote kwishnei!!

    nimependa

    ReplyDelete
  4. Watoto wa kike siku hizi wanatisha.....safi sana

    ReplyDelete
  5. Dada zangu Mashaallah(Allah awazdishie).... sasa kweli mnaonyesha mnataka haki sawa na wanaume na sio kila siku kudai.......viti maalum tu

    ReplyDelete
  6. Well done girls, kazeni uzi na mkawaburuze huko University vile vile kama mlivyowaburuza hapo. Fuateni mafundisho ya dini yenu wala msidanganywe na dunia. Tekelezeni hiyo ibada ya kutafuta elimu hata ikibidi kwenda Cuba/Uchina na Urussi kutafuta elimu ya juu, hayo ndio mafundisho ya dini yetu ya kiislam, kuwa kutafuta elimu ni faradhi kwa muislam mwanamke na mwanamume.

    Anony 09:39:00 AM unayesema elimu iwasaidie kuwakombia kuondokana na ujinga na chuki, mbona nyie mliopewa nafasi za upendeleo za kusoma eimu yenu haijawaondolea chuki mlizo nazo juu ya waislam na uislam? Na ujinga mlionao wa kushindwa kuchanganua mambo na kufuata propaganda zinazotolewa na vyombo vya habari hasa za magharibi kuhusu uislam. Nafikiri yakupasa utoe BORITI jichoni mwako kwanza kabla hujaondoa kibanzi kutoka kwa jicho la mwenzio!

    Mfano ni huyo hapo mgeni wa heshima haamini hicho cheti mpaka anakichungulia mara mbili mbili.
    Mfano mwingine ni uchache wa commets za kuwapongeza hawa mabinti ukilinganisha na sehemu nyingine.

    ReplyDelete
  7. GOOD LOOKING GIRLS AND GOOD PERFORMANCE,
    KEEP IT UP LADIES

    ReplyDelete
  8. Mashallah mabinti wazuri wa kiislam mungu awaongoze muendelee na mtafute elim kama dini yenu ilivyowahusia,
    kila la kheri inshallah na wazazi wenu pia nawapongeza

    ReplyDelete
  9. jamani mitandio(hijab)hadi shuleni?? hii kitu nilisoma sehemu flani misri(egypt)wameipiga marufuku mashuleni na vyuoni wakidai sio sheria ya dini ya uislam bali ni utamaduni ulioanzia ktk jamii flani hapo misri na ukajikuta unasambaa. lkn mmmh sijui kwa wahusika.

    ReplyDelete
  10. Good performance girls keep it up ALLAH awazidishie huko muendako.

    ReplyDelete
  11. we anonymous hapo juu fri feb 26, 07:08:00 pm,unashangaa nini shukrani kwa MZ RUKHSA rais mstaafu kwani yeye ndiye aliyekua anajua nini maana ya haki aliamua kumpa kila mtanzania haki yake na kwa taarifa yako kitabu cha dini yetu ndani yake tumeamrishwa wanawake wa kiislamu tujifunike ndo maana rais mstaafu akalitambua hilo kuruhusu sheria ya hijabu kila sehemu sio mashuleni tu makazini na majumbani pia maana nchi nyingine katika dunia hii acha makazini mitaani pia wanakatazw.

    ReplyDelete
  12. Ni rahisi sana kudharauliwa kila mara kama muda wote unajiona unadharauliwa.

    ReplyDelete
  13. KUNA MTU KATOA KALI HAPO JUU.. ETI MGENI RASMI HAAMINI JINA LA KWENYE HICHO CHETI KWA KUWA NI DINI HIYO!! INA MAANA JAMAA NI MJINGA KIASI HICHO AU HAJAKULIA TANZANIA MPAKA AWE ANAMWONA MTU NA KUTOAMINI? HUYO MTOA COMMENT ANA MAWAZO NEGATIVE TUU MUDA WOTE.. MIMI NADHANI ALITAKA MPONGEZA KWA KUMTAJA JINA SASA KWA KUWA HALIJUI NA SOMO ALILOONGOZA LIMEANDIKWA HAPO AKAWA ANACHEKI JINA LAKE ILI AMWAMBIE 'HONGERA FULANI..' DAH HAYA MAWAZO HAYA SIJUI YANATUPELEKA WAPI?

    ReplyDelete
  14. Tunakushangaa wewe kipof usiyeona mpaka unaandika kwa maandishi manene.

    Lugha ya picha inajieleza, huyo msichana alikurupuka tu kutoka kwenye siti yake akaenda mbele kuchukua cheti mpaka atafte jina kwenye cheti? Na hao walompa cheti hawakutaja hilo jina la huyo msichana mpaka yeye mgeni rasmi alitafute kwenye cheti?
    System ya TZ aliyekulia huyo bwana wote tunaijua, hakuna aliye mgeni nayo.

    Kwanza si linatajwa kwa mwanafnzi bora wa PCM, madhalani hapo ni bi Faiza Juma, kisha Bi Faiza anaenda mbele kuchukua cheti chake, na kuna msururu wa watoa vyeti hapo, anakuwa sijui mwalimu wa taaluma, anakichukua anampa Mwalimu Mkuu ambaye ndiye anampa mgeni rasmi amkabidhi mhusika. Sasa woote hao hawaoni mpaka yeye Kimei aangalie jina vizuri?

    Au mnafikiri hao ni wa kupewa tu kama mlivyozoea kupewa nafasi za upendeleo, mashuleni na makazini bila kujali kama mna qualifications?

    Kwanza hapo haamini binti mzuri kama huyo anaweza kutumia kichwa chake kisawasawa, amezoea mabinti wa kujipendeleza na vimini sketi ili kupewa favours.

    Mmeyatafuta wenyewe, haya vidonge hivyo mkimeza mkitema shauri yenu.

    ReplyDelete
  15. TAzama MBAli DAima a.k.a TAMBAZA..hongerini mabinti..namuona na Mr. Buyogera hapo pembeni. Hongereni kwa lobbying hatimaye mmepata msaada..ila msaada huo muutumie vyema sio tena mnaanza mambo ya kula wenyewe kwanza..boresheni maktaba yenu pia kwani hakuna vitabu pale. 1

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...