Home
Unlabelled
benki ya CRDB yaipiga jeki sekondari ya tambaza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
well done girls.
ReplyDeletemashaallau dada zangu Hijabu zimewapendeza mashaaaaaallah!
ReplyDeletemabinti wa kiisalmu,safi sana msome mtoke ujinga na tabia za chuki,,,maana elimu dunia itawakomboa sana
ReplyDeletesafi sana kazeni buti mzidi kuwagalagaze wanaume wooote kwishnei!!
nimependa
Watoto wa kike siku hizi wanatisha.....safi sana
ReplyDeleteDada zangu Mashaallah(Allah awazdishie).... sasa kweli mnaonyesha mnataka haki sawa na wanaume na sio kila siku kudai.......viti maalum tu
ReplyDeleteWell done girls, kazeni uzi na mkawaburuze huko University vile vile kama mlivyowaburuza hapo. Fuateni mafundisho ya dini yenu wala msidanganywe na dunia. Tekelezeni hiyo ibada ya kutafuta elimu hata ikibidi kwenda Cuba/Uchina na Urussi kutafuta elimu ya juu, hayo ndio mafundisho ya dini yetu ya kiislam, kuwa kutafuta elimu ni faradhi kwa muislam mwanamke na mwanamume.
ReplyDeleteAnony 09:39:00 AM unayesema elimu iwasaidie kuwakombia kuondokana na ujinga na chuki, mbona nyie mliopewa nafasi za upendeleo za kusoma eimu yenu haijawaondolea chuki mlizo nazo juu ya waislam na uislam? Na ujinga mlionao wa kushindwa kuchanganua mambo na kufuata propaganda zinazotolewa na vyombo vya habari hasa za magharibi kuhusu uislam. Nafikiri yakupasa utoe BORITI jichoni mwako kwanza kabla hujaondoa kibanzi kutoka kwa jicho la mwenzio!
Mfano ni huyo hapo mgeni wa heshima haamini hicho cheti mpaka anakichungulia mara mbili mbili.
Mfano mwingine ni uchache wa commets za kuwapongeza hawa mabinti ukilinganisha na sehemu nyingine.
GOOD LOOKING GIRLS AND GOOD PERFORMANCE,
ReplyDeleteKEEP IT UP LADIES
Mashallah mabinti wazuri wa kiislam mungu awaongoze muendelee na mtafute elim kama dini yenu ilivyowahusia,
ReplyDeletekila la kheri inshallah na wazazi wenu pia nawapongeza
jamani mitandio(hijab)hadi shuleni?? hii kitu nilisoma sehemu flani misri(egypt)wameipiga marufuku mashuleni na vyuoni wakidai sio sheria ya dini ya uislam bali ni utamaduni ulioanzia ktk jamii flani hapo misri na ukajikuta unasambaa. lkn mmmh sijui kwa wahusika.
ReplyDeleteGood performance girls keep it up ALLAH awazidishie huko muendako.
ReplyDeletewe anonymous hapo juu fri feb 26, 07:08:00 pm,unashangaa nini shukrani kwa MZ RUKHSA rais mstaafu kwani yeye ndiye aliyekua anajua nini maana ya haki aliamua kumpa kila mtanzania haki yake na kwa taarifa yako kitabu cha dini yetu ndani yake tumeamrishwa wanawake wa kiislamu tujifunike ndo maana rais mstaafu akalitambua hilo kuruhusu sheria ya hijabu kila sehemu sio mashuleni tu makazini na majumbani pia maana nchi nyingine katika dunia hii acha makazini mitaani pia wanakatazw.
ReplyDeleteNi rahisi sana kudharauliwa kila mara kama muda wote unajiona unadharauliwa.
ReplyDeleteKUNA MTU KATOA KALI HAPO JUU.. ETI MGENI RASMI HAAMINI JINA LA KWENYE HICHO CHETI KWA KUWA NI DINI HIYO!! INA MAANA JAMAA NI MJINGA KIASI HICHO AU HAJAKULIA TANZANIA MPAKA AWE ANAMWONA MTU NA KUTOAMINI? HUYO MTOA COMMENT ANA MAWAZO NEGATIVE TUU MUDA WOTE.. MIMI NADHANI ALITAKA MPONGEZA KWA KUMTAJA JINA SASA KWA KUWA HALIJUI NA SOMO ALILOONGOZA LIMEANDIKWA HAPO AKAWA ANACHEKI JINA LAKE ILI AMWAMBIE 'HONGERA FULANI..' DAH HAYA MAWAZO HAYA SIJUI YANATUPELEKA WAPI?
ReplyDeleteTunakushangaa wewe kipof usiyeona mpaka unaandika kwa maandishi manene.
ReplyDeleteLugha ya picha inajieleza, huyo msichana alikurupuka tu kutoka kwenye siti yake akaenda mbele kuchukua cheti mpaka atafte jina kwenye cheti? Na hao walompa cheti hawakutaja hilo jina la huyo msichana mpaka yeye mgeni rasmi alitafute kwenye cheti?
System ya TZ aliyekulia huyo bwana wote tunaijua, hakuna aliye mgeni nayo.
Kwanza si linatajwa kwa mwanafnzi bora wa PCM, madhalani hapo ni bi Faiza Juma, kisha Bi Faiza anaenda mbele kuchukua cheti chake, na kuna msururu wa watoa vyeti hapo, anakuwa sijui mwalimu wa taaluma, anakichukua anampa Mwalimu Mkuu ambaye ndiye anampa mgeni rasmi amkabidhi mhusika. Sasa woote hao hawaoni mpaka yeye Kimei aangalie jina vizuri?
Au mnafikiri hao ni wa kupewa tu kama mlivyozoea kupewa nafasi za upendeleo, mashuleni na makazini bila kujali kama mna qualifications?
Kwanza hapo haamini binti mzuri kama huyo anaweza kutumia kichwa chake kisawasawa, amezoea mabinti wa kujipendeleza na vimini sketi ili kupewa favours.
Mmeyatafuta wenyewe, haya vidonge hivyo mkimeza mkitema shauri yenu.
TAzama MBAli DAima a.k.a TAMBAZA..hongerini mabinti..namuona na Mr. Buyogera hapo pembeni. Hongereni kwa lobbying hatimaye mmepata msaada..ila msaada huo muutumie vyema sio tena mnaanza mambo ya kula wenyewe kwanza..boresheni maktaba yenu pia kwani hakuna vitabu pale. 1
ReplyDelete