Mamia ya waombolezaji wakiongozwa na rais mstaafu Benjamin William Mkapa leo wamempumzika kwenye nyumba yake ya milele mwandishi wa habari veterani Reggie Mhango katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar. ikumbukwe Mh. Mkapa alikuwa mhariri mkuu wa Daily News na Sunday News miaka ya 70, wakati huo reggie akiwa mhariri wa habari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...