Kitu kipya cha Dekula Kahanga kilichotoka 23/02/2010. Dekula Vumbi Kahanga wa Maquiz Original Video yake ktk HD title: God is One by Dekula Kahanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Dekula, you are crazy men... Yahweh (God of abraham,Issac and Jacob)is not Allah.
    Yahweh loves jews, Allah hates jews.

    ReplyDelete
  2. Heko, Dekula, ujumbe mzito kwa mafisadi.

    ReplyDelete
  3. we anonymous wa mwanzo wewe ndo crazy yani basi,jews hates you guys na pia amekufanyeni wajinga na yeye ana torah yake na wala haamini kama yesu kasulubiwa halafu nyinyi mnajitia kimbele mbele.
    hakuna na hatokuweko kama Allah utake usitake wewe kondo uliye potea.

    BIG UP DEKULA Ujumbe wa nyimbo yako mzito na Allah akubariki na ukuingize uislamuni today before tomorrow amin

    michuzi usibaniye commment hii mkuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...