West Berkshire, a local government district in the ceremonial county of Berkshire, England, was a host of Tanzania .
This was in form of an event called ‘A Taste of Tanzania’ which aimed at show casing Tanzania products.
The event covered all kinds of products and services ,tourism ,Trade and Investment in Tanzania. Visitors were able to learn about almost 120 tribes and cultures ,cuisines and drink types of Tanzania.
Present was Mr Amos Msanjila (pictured left) who represented the Tanzania High commission in London told the gathering about the unlimited opportunities to do business in Tanzania.
The brain behind this exhibition work Miss Veronica muumba said that it was an honour as a Tanzanian to be able to tell the story of Tanzania outside its borders
Mbona wengine hatukuambiwa kama kuna hii siku?
ReplyDeleteKande ilikuwepo?
Ulanzi ulikuwepo?
Ugali mlenda ulikuwepo?
Chachandu je ilikupo?
ni hayo tu!
USIULIZE SANA WAJAMENI, MAMBO MENGINE PRIVATE/EXCLUSIVE
ReplyDeleteI don't see any sign of Tanzanian zaidi ya chakula, au Nchi yetu ni wazungu siku hizi? Where were we? or wherea are we up there?
ReplyDeleteUSANII MTUPU, UKWELI VYAKULA VINGI VYA MIKOA TOFAUTI YA TANZANIA HAVIKUWEPO. NANI KASEMA PILAU NI CHAKULA CHA KITANZANIA! WAWAPI? TUACHE USANII KWANZA HATA HAO WALIOANDAA HAWAJUI HATA VYAKULA VYA ASILI VYA MAKABILA YAO.
ReplyDeleteAnon wa 7:36. (1)Yes, pilau ni chakula cha Kiswahili. Kuna baadhi ya watu wanao-confuse pilau na biriani. Biriani ni chakula cha kihindi, pilau ni chakula cha Kiswahili. Neno pilau linatokana na neno la kiajemi "pilaf". Waajemi washirazi walikuja mwambao wa Afrika mashariki miaka 1,000 iliyopita. Ukipata nafasi nenda kutalii Kilwa, makunduchi (Zanzibar) na Pate Kenya. Pilau imetajwa katika tenzi za Muyaka bin Haji na washairi wengineo walioandika miaka 200-300 iliyopita. (2) Yes katika hafla hiyo kulikuwa na muhogo wa nazi, mkate wa ufuta, kunde za hiliki na ugali na mchicha (3) Kama sisi Watanzania hatuitangazi nchi yetu kama vile Wakenya wanavyoitangaza nchi yao, basi tusiwalalamikie wageni wanaotusaidia kuitangaza nchi yetu. (4) Kwa wapenzi wa makande huu ni mfano wa kuiga ili na sisi tuandae maonyesho kama haya badala ya kuwashutumu watu wanaofanya kitu cha maana wakati hatufanyi lolote ili kutukana na kukosoa. (5)Ahsante blogu yetu ya jamii kwa posting hii inayoonyesha kuna watu wanafanya vitu vya maana na pia kuwapa fursa ya kidemokrasia hao wakosoaji wasiofanya chochote ile kulaumu. Mungu ibariki Tanzania.
ReplyDeleteHao ndio watanzania bwana, mabatiki na tye & dye kwa kwenda mbele, sio wale wanaojiita "diaspora" wao ni vijiguo vya kizungu, vikamba kamba na uzungu mwiingi, bora kuwapa hao uraia wa nchi mbili kuliko watanzania waliotupa asili yao.
ReplyDeleteSubirini picha za kwenye mkutano wa diaspora huko London muone kama mnabisha.
Na nyie mnaosema sijui usanii sijui nini, hao wameandaa yao ya kisanii lakini angalau wameitangaza Tanzania. Sasa na nyie andaeni ya kwenu isiyo ya kisanii muitangaze Tanzania.
Watu wengine bwana, pilau si chakula cha Kitanzania? Umekulia wapi wewe, hata vijijini Tanzania wanakula pilau. Usikosoe tu ilimradi umesema kitu. Chakula cha mikoa yote iliyowakilishwa siku hiyo vilikuwepo.
ReplyDeleteKwa yule alieandika sentensi za kunye mabano hapo chini:
(USANII MTUPU, UKWELI VYAKULA VINGI VYA MIKOA TOFAUTI YA TANZANIA HAVIKUWEPO. NANI KASEMA PILAU NI CHAKULA CHA KITANZANIA! WAWAPI? TUACHE USANII KWANZA HATA HAO WALIOANDAA HAWAJUI HATA VYAKULA VYA ASILI VYA MAKABILA YAO.)
Huo ni uzushi, mbona wengine tulikula mpaka makande, ndizi, mchicha, ugali na kadhalika , wewe ulikuwepo au ndo habari za pepo na wivu. Watanzania tunatakiwa kuungana hata kidogo kilichofanywa ni vizuri.
Inashangaza sana kuona wantanzania bado tunaoneana wivu usiokuwa wa maendeleo,yaani kutokualikwa ndio utoe kashifa?jamani tanzania ni kwetu sote kama hukupata bahati ya kuwapo umejuaje kama vyakula vya makabila yote havikuwapo,usanii unatoka wapi?hukuombwa mchango wala mawazo,kwayoyote anaefikiri huo ni usanii kuitangaza nchi yake basi basi hafai kujiita mtanzania,au ndio wale mnaojiripua na kujiita wasomali?pole zenu.napenda kutoa pongezi zangu kwa alieandaa hiyo shughuli namwomba asikate tamaa na maoni ya wasomli tanzania wasio jivunia nchi yao na kuishia kupiga majungu ningefurahi sana kama ningepata contact zake ili tuongee kwa undani zaidi tuone tunawezaje kuitangaza tanzania zaidi na zaidi,UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU.MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATANZANIA WANAOJIVUNIA NCHI YAO.
ReplyDeleteJamani inashangaza,hivi hawa wanaotoa maoni ya kashifa kama {usanii}
ReplyDelete{I don't see any sign of Tanzanian zaidi ya chakula, au Nchi yetu ni wazungu siku hizi? Where were we? or wherea are we up there?}nyinyi kweli ni Wantanzania?hebu tuelezeni nyinyi mmeishafanya nini kuitangaza tanzania?tena wengine wasivyokuwa na aibu wanaandika kingereza kumkosoa alieandaa tamasha,jamani watanzania tunaenda wapi?hongereni sana wote mrio andaa na kushiriki katika tamasha zima.tujivunie nchi yetu daima.
I don't see any sign of Tanzanian zaidi ya chakula, au Nchi yetu ni wazungu siku hizi? Where were we? or wherea are we up there?NDUGU WALEGWA HAPA WALIKUWA WAZUNGU NA WATU WA MATAIFA MENGINE,WALITAKA WAONYESHWE WATANZANIA WANAVAAJE WANAKULAJE NA TANZANIA KUNA NINI?NA WATANZANIA NI WATU WA NAMNA GANI HAYO YOTE WALIYAPATA KAMA UNAVYOONA WAMEVAA KITANZANIA,WAKATI UNATOA MAONI URIFIKIRI KWELI?NA JE HIZO PICHA MBILI HAZIWEZI KUONYESHA KILA KIRICHOFANYIKA HAPO NI MENGI NA MAZURI YALIFANYIKA FIKIRI KABLA YA KUNENA.
ReplyDeleteTATIZO LETU WATANZANIA TUNASHINDWA KUANGALIA NINI WANACHOFANYA WENZETU WA AFRIKA KUSINI, KATI , MASHARIKI,MAGHARIBI NA KASIKAZINI, WAO HUFANYA YALE YAO YA ASILI NA SI YA KUIGA. TULIIGA WIMBO WA TAIFA KUTOKA KWENYE NYIMBO ZA KIKIRISITU,SASA HATA VYETU VYA ASILI HATUVIJUI ILA UBISHI NA UJUAJI UMETUJAA.
ReplyDeleteJamani, Jamani, mbona maneno mengiiii! Sherehe ilipendeza sana, Tanzania ilitengwa katika majimbo makuu manne:- Zanzibar zone, Lake zone, Kilimanjaro zone pamoja Central zone. Mimi nilikuwepo na nilishihudia kazi kubwa tena ya kupendeza ilifanywa na dada mmoja wa Kitanzania ambaye anajivunia kuwa mtanzania. Ni dhahiri kwamba nchi yetu ni kubwa sana tena in mali asiri kibao, isitoshe kuna makabila mengi sana. Ninachomaanisha hapa ni kwamba ni vigumu kuonyesha au kuelezea kiiiila kitu kihusianacho na Tanzania. Hata hivyo nimpongeze huyo dada kwa jitihada za hali ya juu. Well done girl & keep it up!
ReplyDeleteWatanzania inatubidi sasa tuonyeshe mabadiliko, tujifunze kupongezana badala ya kulaumu laumu bila vigezo vya msingi.
THIS IS THE TIME TO CHANGE AND BE PROUD TO PROMOTE OUR COUNTRY IN EVERY ASPECT.
Ni hayo tu kwa leo!