Makamu wa Rais wea Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akifunguwa pazia kuzinduwa rasmi mradi wa maji safi na usafi wa mazingira katika manispaa ya Songea leo. Jumla ya shilingi 33.2 Bilioni zimetumika hadi kukamilika kwa mradi huo uliofadhiliwa na Ujerumani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuzinduwa mradi wa maji safi katika manispaa ya Songea leo. Mradi huo uliofadhiliwa na Serikali ya Ujerumani umeharimu Jumla ya shilingi 33.2 Bilioni. Kulia kwake ni mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dk. Christine Gabriel Ishengoma. Picha na mdau Amour Nassor

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nawapa ongera kwa walioleta huo mradi,Je?watalamu tunao wa kutunza huo mradi,au mitambo imefungwa na wakuitumia ni uzoefu na watoto wa wajomba,
    wakati umefika wa kuweka miradi mipya na watalamu kuelimishwa jinsi ya kuitunza...........

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...