Mkurugenzi Msaidizi na Msajili wa Magazeti wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Raphael Hokororo akisisitiza jambo katika kikao chake na Wahariri wa Magazeti ya Daily News na Habari Leo. Shoto ni Msaidizi wa Msajili wa Magazeti Bi. Jovina Bujulu.
Mkurugenzi Msaidizi na Msajili wa Magazeti wa Idara ya Habari (MAELEZO) Ndugu Raphael Hokororo wa pili (Kulia) akisisitiza jambo walipotembelea Gazeti la Daily News. Kulia ni Msaidizi wa Msajili wa Magazeti Bibi. Jovina Bujulu. Wa pili shoto ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Daily News ndugu Mkumbwa Ally na wa pili (kushoto) ni Mhariri wa Gazeti la Habari Leo ndugu Joseph Kulangwa. Picha na Anna Itenda wa MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...