wakiwa na nyuso za furaha si wengine ila mdau Edwin Mgoa na mai waifu wake Moreen wakati wa mnuso wao wa nguvu hoteli ya Istana usiku wa kuamkia leo, baada ya kumeremeta katika kanisa la Kilutheri la Kijitonyama jijini Dar. Edwin ni mtaalamu wa IT vodacom katika kituo cha Mlimani City bibi harusi ndio kwanza kala nondozzz
maharusi na kamati ya maandalizi

Hongereni maharusi karibuni ktk ulimwengu mpya wenye raha na karaha.
ReplyDeletedu hongera sana keke boy, nasikitika kuikosa harusi yako, ila usijali pamoja sana na mungu awalinde katika ndoa yenu
ReplyDeleteHongera mno CHUPA BOY na Mungu awasimamie kwenye maisha yenu ya ndo. Salamu zake Emily. From Dub.
ReplyDeleteDah kaka aminia, wakilisha toka IFM mpaka PAMOKO DAIMA!
ReplyDeleteTafadhali tuwekee picha zaidi thru www.harusiyangu.com
It's ya boy Said from TMK!
Hongereni sana maharusi,Chibe boy kaza buti safari ndio hiyo yaanza... Afandeeeee!!!
ReplyDeleteMdau wa vitu bariiiiidi...
Kwa nini bwana harusi anakaa mbali na bibi harusi namna hii? Walikuwa hawana mtu wa kuwaelekeza au ndiyo nini hivi?
ReplyDelete