wakiwa na nyuso za furaha si wengine ila mdau Edwin Mgoa na mai waifu wake Moreen wakati wa mnuso wao wa nguvu hoteli ya Istana usiku wa kuamkia leo, baada ya kumeremeta katika kanisa la Kilutheri la Kijitonyama jijini Dar. Edwin ni mtaalamu wa IT vodacom katika kituo cha Mlimani City bibi harusi ndio kwanza kala nondozzz
maharusi na kamati ya maandalizi


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hongereni maharusi karibuni ktk ulimwengu mpya wenye raha na karaha.

    ReplyDelete
  2. du hongera sana keke boy, nasikitika kuikosa harusi yako, ila usijali pamoja sana na mungu awalinde katika ndoa yenu

    ReplyDelete
  3. Hongera mno CHUPA BOY na Mungu awasimamie kwenye maisha yenu ya ndo. Salamu zake Emily. From Dub.

    ReplyDelete
  4. Dah kaka aminia, wakilisha toka IFM mpaka PAMOKO DAIMA!
    Tafadhali tuwekee picha zaidi thru www.harusiyangu.com

    It's ya boy Said from TMK!

    ReplyDelete
  5. Hongereni sana maharusi,Chibe boy kaza buti safari ndio hiyo yaanza... Afandeeeee!!!
    Mdau wa vitu bariiiiidi...

    ReplyDelete
  6. Kwa nini bwana harusi anakaa mbali na bibi harusi namna hii? Walikuwa hawana mtu wa kuwaelekeza au ndiyo nini hivi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...