Jerry Muro akiingizwa chemba katika mahakama ya kisutu jijini Dar leo usomewa mashtaka yeye na wengine wawili ya kula njama kutaka kuchukua rushwa ya shilingi milioni 10. habari kamili soma posti ya hapo chini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Bongo bwana....i hope the truth will prevail..we need young educated blood in our leadership.Otherwise kichwa cha mwednda wazimuuu kitaendelea..

    ReplyDelete
  2. Maskini Tom and Jerry

    ReplyDelete
  3. If you are educated, tallented and innovative leave this country. If you choose to stay - the same thing will happen to you - sooner or later! This country is evil!

    ReplyDelete
  4. We uliyeandika 'Maskini Tom and Jerry' umenipa raha sana. Nimecheka kidogo nipaliwe na chai.. du!!!

    ReplyDelete
  5. Mimi ni mtanzania,lakini naichukia nchi yangu kutokana na serikali inavyoendesha shughuli zake,hasa police na mahakamani,tumeona matukio mengi ambayo yanaushahidi wa kutosha lakini at the end of day huyo mtuhumiwa anaachiwa mfano,Ditopile alimuua dereva dala2 na watu waliona live,lakini sheria ikapindishwa pindishwa jamaa ikaonakana hana kosa na akotoka,Zombe naye katoka,but watanzania wenzangu ,mi2 sio mahakama,nasijui kama alifanya au hafanya hilo kosa,lakini ninavyojua kama hii issue imepandikizwa na kusukwa vizuri hata kama Jerry ni innocent lazima atakula mvua/miaka ya kutosha,kwani hana jina/wadhifa mkubwa kama akina Dito au Zombe ambao wakubwa waliwabeba,kwa uelewa wangu mdogo bongo hakuna haki at all,but ni umarufu wako au pesa zako,
    Madhala ya askari kukamatwa Jeryy wakipokea rushwa,hasa IRINGA inawaharibia sifa ya mkuu wa police Iringa,na wizara kwa Ujumla,kwa akina IGP mwema,Masha nao wanachafuliwa,kwa hiyo wanaweza hakikisha huyu dogo hatoki ili sifa ya askari wala rushwa ipotee,na wiraza husika ionekane safi,

    Pole sana Jerry,kama umechomekewa hiyo issue tafuta mwanasheria ambaye ni ndugu yako coz wanaweza nunua hata mwanasheria wako,coz wewe unapambana na mipapa,watanzania tutaishia aah hah wamenuonea ,lakini huyo Segerea,any way ndio bongo yetu.
    Nipo bongo coz sina mchongo wa kwenda nje ,
    -NAICHUKIA SANA NCHI YANGU,ITS NO LONGER A PEACEFUL COUNTRY,
    -ALMOST 90% YA WATANZANIA HAWANA AMANI JUU YA NCHI YAO AMBAYO INAENDESHWA NA KIBABE,BILA KUFUATA SHERIA,WHAT MATTERS NI PESA AU TITTLE YAKO,JE MASIKINI WATATOKA,

    JERRY -Kama kweli hukutenda au hujashiriki ,mungu akuongezee nguvu na ujasiri ili utoke kwenye huo mdomo wa mamba,kama ulishirika na sheria ikafuata mkondo ,basi ni haki yako,

    Sali sana kaka,kama mkristu basi okoka ,kama muslim -anza swala 5

    Am writing this comment while my eyes are full of tear-Nakuonea huruma,lakini pilato ndio mwamuzi,
    but yote maisha.
    MUNGU AKUTANGULIE

    ReplyDelete
  6. ndugu yangu hapo juu unayedai unaichukia nchi yako pole, lakini haikusaidii. kila nchi ina matatizo yake, hakuna pepo hapa duniani. huku ulaya tunakoishi tunaona uonevu kibao, lakini upo ndani ya sheria. unakuta wanakubambikia madai ya fedha kibao bila kujali hata kama una matatizo. kila hela unayopata inaishia kwao. haya ya jerry ni mapito tu, mimi binafsi naamini yataisha. tena naona itamjenga zaidi na kuwa mwangalifu.

    ReplyDelete
  7. Sielewi kwanini Jerry anacheka au sijui ndio niite kutabasamu akielekea mahakamani. Je hicho Nikicheko cha huzuni..., furaha... au dharau?

    ReplyDelete
  8. Sasa wewe polisi unayejiuliza kicheko cha Jerry kina maana gani... hiyo ni kazi yako kama polisi. Tumia akili zako japo kwa mambo madogo kama hilo. Hebu tuambie wewe mwenyewe... Hilo tabasamu lina maana gani kwa maoni yako

    ReplyDelete
  9. dah mi nnachoweza kusema angalieni sana waandishi wa habari mahakamani hapo mtashangazwa kama mlivoshangazwa kesi ya zombe.NI HAYO TU!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...