kwenye kiota cha Zong Hua usiku wa kuamkia leo
Home
Unlabelled
jide oye!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Thanx for identifying Musa who works for the Radio..but who are the rest? am kinda interested to know.
ReplyDeletehao wa hapo juu ni zantel staff
ReplyDeleteWABOONGO POLENI KWA STAREHE,KAZI KWELI*2!
ReplyDeletemichuzi ni wadau wa ZANTEL KEEP TALKING sio Zainabu bwana!! umechemka
ReplyDeletewow Jide. You need a hairstylist ASAP!!!!!
ReplyDeleteMimi naomba kuuliza hii kuvaa hizi tshirt za makampuni ni ujiko au unakuwa huna nguo nyumbani?
ReplyDelete1:Na kama unazo kwanini hamzivai au ndiyo kuzisave na jua zikae muda mrefu?
2:Mimi nina rafiki yangu yuko kwenye haya makampuni yanayotoa mafulana basi kila nikiwa vekesheni namuona jamaa anabadili hayo madude tu mara la blue mara njano ili mradi purukushani tu. Na nikimuuliza hamna jibu la maana au anazugazuga tu mpaka topic inapita?
3:Maana mimi nafanya kazi pc world (box) hapa mtoni lakini siwezi kutoka na mayuniform au tshirt zao mpaka pub no way!!! sasa hawa wanawezaje kwenda nayo disco au sehemu kama hizo?
4: Pia eti kama unakuwa meneja wa kampuni ya bia ni haramu kunywa kinywaji kingine? Wanawalipa kwenye hilo au utumwa wa kisayansi?
Wadau naombeni majibu hasa hawa wanaovaa haya matishirt. Wale wanamuziki wa bongoflava siku hizi naona wamebadilika kidogo sasa swala ni hawa wenzangu na miye
Mdau buckinghamshire- United kingdom
Huyo kaka hapo kulia anafana na kaka mmoja alikuwa anaishi Upanga karibu na Boyscout(enzi hizo)na shule ya Shabaan Robert akiitwa Super.
ReplyDeletemwe mwe mwe Manka ni mzuri mweee hasa anapo kuwa hana make up. hahahaaaaa michuzi wewe ni kiboko.mto na wewe mkeo, titititiiii.
ReplyDeleteDu! mwanangu Jide unatisha bila make up afu akichanganya na vijiguo vyake vifupi anavyovaa huku usafiri wa mbagala ni taabu basi inakuwa kaaazi kweli kweli; jipende mtoto wa kike pia pata washauri wa make up na mavazi kijana atakukumbia huyo kwani yeye ndio hapendi vizuri?
ReplyDeletenakipenda saaana kipindi cha USWAZI cha uyo kijana,,,
ReplyDeletemdau ata mie hainiingii akili ata kidogo iyo midude ya mi-tshirt ya kampunu jamani sijui ushamba gani uo??
ila jibu laweza kuwa WATU KWA KUUZA SURA?HAWAJAMBO