Home
Unlabelled
kigamboni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naona tumeanza kukua kimatangazo na biashara.
ReplyDeleteNice video with beautiful sound trax!
Well done!!
Hayo ndo tunataka yatangazwe tusisubiri wazungu watupigie picha zinazotubeza kwani hawataki kuonyesha yale tunayowazidi au kulingana, ili mradi tuonekane tuko nyuma katika kila jambo. Bado tunasubiri zaidi ya hapo kwani uwezo na sababu tunazo za kukonyesha maendeleo yetu katika kutangaza mambo yetu kwa walimwengu
ReplyDeleteAppreciate it :)))
ReplyDeleteNilidhani kitu cha maana kumbe upuuzi michu bwana saa zengine angalia vitu vengine usiweke humu unaharibu status ya blog yako. Lazima uwe benchmark ya vitu vya kubandika sio vyote
ReplyDeleteWewe 05:10:00 Acha ujinga hii sio tangazo amabalo limewekwa na GOV or Local business ni mtu individual amechukua picha kuamua kutangaza Kigamboni. Like we said before in blog ya jamii wizara ya utalii haifanyi kazi zake kutangaza Tanzania in anyway.
ReplyDeleteNampa pongezi huyu jamaa aliye post hizo clip za Kigamboni ingawa clip zake not edited well and is in POOR QUALITY
safi sana.tunataka zaidi nchi yetu itangazwe.tutafute picha nzuri za nchi yetu na tuzichanganye kwenye video moja,ukienda youtube utaona kenya wammetengeneza za kenya you never see on tv.na sisi tunaweza,hebu michuzi tukusanyie picha za vikwangua anga na mandhar ya town tutengeneze.
ReplyDelete...mmh eti Kigamboni is an Island??!
ReplyDeleteNaomba anayejua nyimbo ya mwisho kuanzia 2:40 inaitwaje,anitajie na jina la msanii...kazi nzuri aliyeweka hii video ila quality ni ya chini sana
ReplyDeleteMimi nilidhani bonge la issue..KIGAMBON...Kumbe upuuzi..mnaanzakutuweke clips za namna hii kesho mtatuwekea clips za vibao kata..
ReplyDeleteVideo Poa ila, Wrong Choice of Music!... Video na Music ni mbali mbali yaani...
ReplyDeleteB.
kigamboni is not an island..kisiwa gani unaenda kwa daladala
ReplyDeleteHii poa sana!!
ReplyDeletehuo wimbo wa bongoflava unaitwa Utaipenda wa Hussein Machozi kama sijakosea!
kigamboni an island????my foot
ReplyDeletewee acha mas'hala dogo,temeke kule unapita nchi kavu adi kigamboni,
upo hapo?
Wadau nashukuru kwa maoni yatafanyiwa kazi yote yaliyosemwa kwa kasoro zilizojitokeza . Really this was just in good intention to see what we can do for our country advising and promoting the beauty things we have here :) Tanzania ni ya wote so lets feel free to put things that value our self as Tanzanian n African.Thats was the idea...
ReplyDeletepoa mkuu kwa kuelewa maoni ya wadau ila kigamboni ni ras not island kaka kwa hiyo wewe just badili hapo andika the view of dar city with ras kigamboni and not island ni hayo tu kaka
ReplyDelete