Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Naona tumeanza kukua kimatangazo na biashara.
    Nice video with beautiful sound trax!
    Well done!!

    ReplyDelete
  2. Hayo ndo tunataka yatangazwe tusisubiri wazungu watupigie picha zinazotubeza kwani hawataki kuonyesha yale tunayowazidi au kulingana, ili mradi tuonekane tuko nyuma katika kila jambo. Bado tunasubiri zaidi ya hapo kwani uwezo na sababu tunazo za kukonyesha maendeleo yetu katika kutangaza mambo yetu kwa walimwengu

    ReplyDelete
  3. Nilidhani kitu cha maana kumbe upuuzi michu bwana saa zengine angalia vitu vengine usiweke humu unaharibu status ya blog yako. Lazima uwe benchmark ya vitu vya kubandika sio vyote

    ReplyDelete
  4. Wewe 05:10:00 Acha ujinga hii sio tangazo amabalo limewekwa na GOV or Local business ni mtu individual amechukua picha kuamua kutangaza Kigamboni. Like we said before in blog ya jamii wizara ya utalii haifanyi kazi zake kutangaza Tanzania in anyway.
    Nampa pongezi huyu jamaa aliye post hizo clip za Kigamboni ingawa clip zake not edited well and is in POOR QUALITY

    ReplyDelete
  5. safi sana.tunataka zaidi nchi yetu itangazwe.tutafute picha nzuri za nchi yetu na tuzichanganye kwenye video moja,ukienda youtube utaona kenya wammetengeneza za kenya you never see on tv.na sisi tunaweza,hebu michuzi tukusanyie picha za vikwangua anga na mandhar ya town tutengeneze.

    ReplyDelete
  6. ...mmh eti Kigamboni is an Island??!

    ReplyDelete
  7. Naomba anayejua nyimbo ya mwisho kuanzia 2:40 inaitwaje,anitajie na jina la msanii...kazi nzuri aliyeweka hii video ila quality ni ya chini sana

    ReplyDelete
  8. Mimi nilidhani bonge la issue..KIGAMBON...Kumbe upuuzi..mnaanzakutuweke clips za namna hii kesho mtatuwekea clips za vibao kata..

    ReplyDelete
  9. Video Poa ila, Wrong Choice of Music!... Video na Music ni mbali mbali yaani...

    B.

    ReplyDelete
  10. kigamboni is not an island..kisiwa gani unaenda kwa daladala

    ReplyDelete
  11. Hii poa sana!!

    huo wimbo wa bongoflava unaitwa Utaipenda wa Hussein Machozi kama sijakosea!

    ReplyDelete
  12. kigamboni an island????my foot

    wee acha mas'hala dogo,temeke kule unapita nchi kavu adi kigamboni,

    upo hapo?

    ReplyDelete
  13. Wadau nashukuru kwa maoni yatafanyiwa kazi yote yaliyosemwa kwa kasoro zilizojitokeza . Really this was just in good intention to see what we can do for our country advising and promoting the beauty things we have here :) Tanzania ni ya wote so lets feel free to put things that value our self as Tanzanian n African.Thats was the idea...

    ReplyDelete
  14. poa mkuu kwa kuelewa maoni ya wadau ila kigamboni ni ras not island kaka kwa hiyo wewe just badili hapo andika the view of dar city with ras kigamboni and not island ni hayo tu kaka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...