modo akiwa katika kwialo cha virginia
kiwalo cha virginia kikitembezwa jukwaani
mamodo katika virginia njumba
mamodo
virginia njumba mwenyewe akitambulishwa baada ya kuonesha vitu vyake. mbunifu huyu ambaye ndio kwanza karudi toka ughaibuni alipata sifa tele kwa ubunifu wake wakati wa Swahili Week Fashion jijini Dar





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ila Ila Ila, youuwiiii!!!!!!!! Virginia ni virgin kweli kweli. Kakamilika kila Idara. Ni mzuri kwa kweli.
    Hongera sana.

    Mpg box

    ReplyDelete
  2. Dah, picha ya mwisho tu bwana!!! kaka utaratibu wa pete vipi ushampitia huyu viginia?? niko bize ktk mchakato wa kutoka kivyanguvyangu kaka!!!

    Mdau wa pajazzz+titizzz

    ReplyDelete
  3. you look great VM angalia wasije kukudanganya na bwana, utajakuwa kama kina millen. tight up your belt!

    ReplyDelete
  4. Good job.

    Can we see some creativity in casual wear?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  5. Absolutely Fabulous!!, Elegant and Classic, and not to forget wearable.

    Well done girl and can't wait to see your next collection.

    Where can we buy your designs??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...