Home
Unlabelled
video ya nabii tito
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi Tanzania inaruhusiwa kutangaza na kipaza sauti namna hiyo. Huo si uchafuzi wa mazingira. Sasa kila mtu akiamua kuja na kipaza sauti, na kuongea namna hiyo, itakuwaje.Kwenye video tu hii, nasikia kelele ajabu, sijui walioko hapo wanajisikiaje. Tabu kabisa.
ReplyDeleteJamani eeh...Huyu nabii MBONA ANAKULA NYASI TU. i.e BANGI
ReplyDeleteLakini lazima tukubaliane na jambo moja: UKIRISTO NI DINI PEKEE DUNIANI AMBAYO UNAWEZA KUITUKANA NA WAUMINI WAKE WAKAKWANGALIA TU KAMA MJINGA...INGEKUWA UISLAM HAPA...TUNGEONA MTU KASHAKATWAKATWA HAPA...
WAISLAM JIFUNZENI......JIFUNZENI....
duh.....hii ndio mara ya kwanza kuona haya maajabu..huyu jamaa duh!!! yaani na anavuta sigara huku akihubiri!!!
ReplyDeletehuyu bwana kwa watu mnaofahamu saikolojia mtagundua anacho kifanya hapa ni kutafuta umaarufu kwanza,na njia pekee ni kuingia na njia iliyo kinyume na inayohamika na wengimhiyo itavuta attantion ya watu na jina lake litasambaa haraka,kisha mtamsikia amekuwa mwana siasa wakati huo atakuwa amerudi katika mafundisho anayo ya pinga kwa sasa.
ReplyDeletehivyo basi anatengeneza njia kwa ajili ya alilokusudia mbeleni,japo hii ni hatari kwake kama ndio lengo lake.
watu wengi hutumia njia ya dini ili kufahamika na kupata umarufu katika jamii.lakini wengi wao malengo yao huwa ni tofauti kabisa na dini,wengi huwa wanalenga uchumi zaidi,hatakama watapitia katika njia ya siasa baadaye.
mdau
Hawa ndio Iluminati wenyewe wanaletwa na Wamarekani wanapoteza Dini zote kubwa mbili.
ReplyDeleteugumu wamaisha unatupeleka pabaya
ReplyDeletetoo much kelele full kizunguzungu uuwii...!!
ReplyDeleteHII KAZI KWELI KWELI.
ReplyDeleteManeno haya hapa Kwenye Biblia
ReplyDeleteRum 13:13 – Kama ilivyohusika na mchana na tuenende kwa adabu, si kwa ulafi na ulevi.
Efe 5:18 – “Tena msilewe kwa mvinyo”
1 Kor 6:10 – “Wala wevi,wachoyo, walevi, wasengenyaji, wanyang’anyi, hao wote hawatakishiriki Utawala wa Mungu.
Luke 21:34 – “ Basi jiangalieni ……. Na ulafi, na ulevi, na masumbufu ya maisha haya, siku ile ikawajia ghafla, kama mtego unasavyo.”
Ikorintho3:18 Msijidanganye! Mtu yeyote miongoni mwenu akijidhania mwenye hekima mtindo wa kidunia, heri awe mjinga kusudi apate kuwa na hekima ya kweli. Kimaro.
MANUUUUU OYEEEEEEEEEEEEEEEEE SANSIRO WAMEFULIAAAAAAAAA !!!!!!!! mwaka wetu huuuu michuzi i luv you too donti bana hii
ReplyDeletesisi wakristo hatuhukumu hapa duniani tunajua hiyo ni kazi ya mungu mwenyewe kwani kumuhukumu mtu kama NABII TITO adhabu yoyote ile iwe kuchapwa viboko au kumuua unayefanya hivyo nawe unakuwa unatenda dhambi utakwenda jehanamu hata BWANA alidhrauliwa na alikuja kama mnyonge hapa duniani hakuja na makuu ndio maana yesu ALIFUNDISHA KUWA ADUI MPENDE na siyo adui muue
ReplyDeleteje mungu wa nabii tito na mungu wa yule mnigeria aliyebeba mabomu kwenye CHUPI ili akajilipue muhanga who is who?
ReplyDeleteJamaa nimemwaminia ni mjasiriamli wa kutisha hapo anauza na ametafuta mitaa ambyo kuna wengi wanaotaka kuhalalisha mambo flani.
ReplyDeleteMTAFITI
ReplyDeleteNAWASHUKURU WENGI MLIOCHANGIA...
NIMEGUSWA SANA NA HII VIDEO NA NINA MCHANGO WANGU MIMI KAMA MIMI...
JAMANI NDUGU ZANGU NAPENDA TUFAHAMU, PAMOJA NA KUWA DINI ZOTE NI MAPOKEO ILA INABIDI TUELEWE HAYA MAMBO:
HAKUNA DINI ITAKAYOTUPELEKA MBINGUNI..HAKUNA
HAKUNA DHEHEBU LITAKALOTUPELEKA MBINGUNI
HAKUNA MSIKITI WALA KANISA LITAKALOTUPELEKA MBINGUNI....
UKIJARIBU KUCHUNGUZA KWA UNDANI ZAIDI UTAGUNDUA HAYA: (KWA UPANDE WA WAKRISTO)
MADHEHEBU MENGI KAMA SIYO YOTE YAMEANZISHWA KUFUATA MWENENDO WA MAISHA YA YESU KRISTO...NINASEMA HIVI KWA MAANA HII...UKIANGALIA KUNA MADHEHEBU MENGI YAMEKUJA TU KUTOKANA NA JINSI YESU KRISTO ALIVYOKUWA ANAVAA...WENGINE WAMEANZISHA MADHEHEMU KUTOKANA NA TUKIO MOJA TU YESU ALILOFANYA... MFANO
1. KWAKUWA YESU ALIBATIZWA AKIWA MTU MZIMA...DHEHEBU LIKAANZISHWA LA WANAOBATIZA WATU WAZIMA NA WANAPINGA WANAOBATIZA WATOTO,
2. KWAKUWA YESU ALIMTOA PEPO AKAMUAMRISHA AENDE KWA NGURUWE NA PIA KWA KUWA KATIKA AGANO LA KALE IMEANDIKWA KUWA NI HARAMU (BILA KUJUA HASA UNDANI WAKE) DHEHEBU LIKAANZISHWA
3. KWAKUWA YESU ALIBADILI MAJI KUWA MVINYO..DHEHEBU LIKAANZISHWA
4. KWAKUWA YESU ALIKUWA AKITEMBEA NA ''MAKOBAZI'' NA KUVAA KANZU, YAKAANZISHWA MADHEHEBU YENYE VIONGOZI WANAOVAA KANZU
5. KWAKUWA YESU (KATIKA NAFSI YA MUNGU) ALIFANYA KAZI YA UUMBAJI KWA SIKU SITA NA AKAPUMZIKA SIKU YA SABA (BILA YA KUTAJA ILIKUWA NI SIKU IPI YA JUMA) MADHEHEBU YAANZISHWA YANAYOPUMZIKA NA KUABUDU ''SIKU YA SABA''
NA MIFANO MINGI ZAIDI.. KIUJUMLA NI KUWA WATU WENGI WAMEKUWA WAKICHUKUA KIPANDE CHA MANENO KATIKA BIBLIA TAKATIFU NA KUFANYIA HUKUMU WENGINE AMA KUANZISHIA DHEHEBU...
TUJICHUNGUZE SANA WANDUGU MAANA haya yote ni mapokeo jamani...
MIMI NINAAMINI KATIKA BIBLIA NA HASA KATIKA AMRI KUMI ZA MUNGU...MAANA KAMA KWELI UNAFUATA HIZI AMRI...SIAMINI NA SITAAMINI KAMA haya mambo yote yanaweza kutokea..
NINAAMINI HATA KATIKA UISLAM KUNA AMRI ZA MWENYEZI MUNGU AMBAZO NI KAMA MUONGOZO WA MAISHA YAO..
TUKIFUATA HIZO TU NDIO TUNAWEZA KUFIKA UPANDE MZURI WA ''MBELE YA HAKI''
DJM
wewe tito unahubiria kondoo ambao kamwe hawaelewa. Ukitaka wakuelewe tafuta rafiki mzungu asiyejua kiswahili ndo hao kondoo wataelewa unachoksema. Biblia haikukataza watu kuoa wake wengi lakini wafuasi wa biblia hawalijui hilo na wanafuata waliloambiwa na wachungaji/wazazi au walezi.
ReplyDelete.... Pombe dawa ya UKIMWI....????! Duh hii sasa kali, Jamaa itabidi akapimwe.
ReplyDeleteMdau wa kwanza hapo anayelalamika kwamba kelele zinaharibu mazingira, pole sana mzee inaonekana hujaenda bongo muda kidogo maana sasa hivi wauza mitumba na dawa za wadudu wote wanatumia vipaza sauti, pia inaemekana hivi vipaza sauti vitaanza kutumika mpaka kwenye daladala. LOL
ReplyDeletewe sijui nikuiiteje ulio comment Wed Feb 17, 05:49:00 PM nadhani we ndio ktk wale malimbukeni, umeshawahi kusikia wapi hapa bongo kuna muislam akamchinja mtu? hivyo vita unavyoviona kwenye ma tv ni vya kisiasa huko iraq kwa sababu ya mafuta kila mtu mwizi siku hizi,popote kwenye mali ndio watu wanachinjana kwa kifupi hizo ni triki tu ya wazungu na sio uislam,wacha kuondika pumba..
ReplyDeleteHizi njaa hizi, mbona kazi ipo.....!
ReplyDeleteHii ni njaa tuu kwa hawa wala vumbi...ngoja nitoke nielekee Beverly Hills kumcheck demu wangu,hawa wala vumbi ni full michosho
ReplyDeleteNabii Tito mfate Mazinge kama ajakusilimisha sasa hivi
ReplyDeleteI think its wastage of time,and rubbish
ReplyDeleteebwana ndio nabii tito nimekukubali...kwa stahili hiyo utapata wafuasi wengi, maana unagusa sehemu nyeti..!!
ReplyDeleteaisee hii ni uchafuzi wa mazingira,keleeee mpaka mwisho na ni city centre??? aaah jamani huyo nae atolewe hapo na wagambo kama wanavowatoa wachuuzi wadogowadogo,anatuchafulia mji na kelele zake.MTOENI BANA
ReplyDeleteYesu kamwe hajawahi kupigizana kelele na wajinga ua apumbavu.Nabii tito amekosa hekima na utii mbele za uso wa MUNGU.kam kweli maandiko yake yako kwa ajili ya kuelimisha basi ni haeri angetoa kitabu au kijijarida ili kila kondoo aweze kula kwa wakati wake na kuju akama chakul ahicho ni halali ua si halali kwani kupiga makelele unadhani itasaidia nini?????TITO usidhani watu kukaa kimya wmekuogopa wanaongea na MUNGU ili aseme na wewe... Ukumbuke kwamba kauli na matendo na maneno yako ndo yatakupeleka pabaya.. ni mimi mtot wa Yesu Kimbilio langu.
ReplyDeleteANKO MICHUZI,HONGERA SANA KWA YA KUTOA HABARI KUPITIA MATUKIO YA KIJAMII.KWA UJUMLA NAWAPONGEZA WADAU WOTE KWA JINSI WALIVYOWEZA KUCHANGIA MADA HII.NAAMI KUWA KILA MTU AMETUMIA VEMA UHURU WAKE.
ReplyDeleteWAKATI HAYO YAKIENDELEA NAWAKARIBISHA WALE WOTE WENYE KIU YA KUSOMA NA KUJIFUNZA BIBLIA WAFUNGUE WAVUTI:www.watchtower.org
KUPITIA WAVUTI HII WANAWEZA KUSOMA BIBLIA ONLINE NA KUOMBA FUNZO LA BIBLIA LA NYUMBANI BURE.KUPITIA PROGRAMU HII MASWALI MENGI YA MSINGI YANAWEZA KUJIBIWA KUPITIA USOMAJI WA BIBLIA CHINI YA MAZINGIRA BINAFSI NA TULIVU KUFUATANA NA RATIBA ILIYOCHAGULIWA.BIBLIA,VITABU,VIJITABU,BROSHUA,MAGAZETI NA TRAKTI ZINATOLEWA KUPITIA PROGRAMU HII YA KIMATAIFA.
Huu mpango wa kusoma biblia online naona mzuri sana kwa sisi wadau wenye kiu ya neno la Mungu.Ni vizuri huyo mchangiaji wa mada akatuweka wazi zaidi juu ya hicho kinachoitwa funzo la biblia la nyumbani la bure na sisi wa uswazi tunaweza kufikiwaje na hii programu hii ya maana maishani.Je hizo biblia na machapisho mengine yanaweza kutufikiaje huko Uswazi?
ReplyDeleteHuu mpango wa bible ndani ya nyumba ni poa kabisa wadau tuuchangamkie wadau.
ReplyDeletebible ni poa sana mtu wangu ikukaa kichwani hakuna mtu atayekuyumbisha na mada zake zisizo na mpango Wewe ukisiliza tu kidogo ujua huyu anaganga njaa mjini kupitia mada za biblia.Nashangaa huyo jamaa kachorachora makaratsi yake halafu ukichukua anakudai mchango.Mchango wa ni nini kama siyo wa kununulia sigara?Wadau tuchangamkie kusoma bible online na tuwaombe hawa jamaa watutembelee kwenye viota vyetu mawikiendi tukipozi na familia zetu tupate neno na mabuku ya kujisomea halafu tuwe fiti na timamu bila kuyumbishwa na wazukaji hawa mjini.
ReplyDelete