Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Amani Abeid Karume,akizungumza na mabalozi wateule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nchi za nje. Kati ni Profesa Abillah Omar, Balozi nchini Saudi Arabia na Dk. James Mwasi balozi wetu nchini Bujumbura-Burundi, waliokwenda kumuaga Rais Karume leo Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na mdau Ramadhan Othman Ikulu Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nawapongeza mabalozi wapya kipekee mwalimu wetu wa pale Diplomasia Prof. Omary. Kama kuna mtu mwenye uwezo wa kuchanganua mambo Tanzania hii Prof Omary yumo katika top 3. Ni matumaini yetu kuwa mahusiano yetu na Arabuni yatakuwa mfano wa kuinufaisha Tanzania kiuchumi kama ulivyokuwa ukitufundisha kuhusu diplomasia ya kiuchumi. All the best prof

    ReplyDelete
  2. Ankal naomba usiibane hii. Ni kwanini tunachagua wasomi wetu kuwa mabalozi na wakati wanahitajika hapa nyumbani. Kwani hakuna watu pale Foreign ambao wamesomea mambo haya na wanangojea posti hizi!

    ReplyDelete
  3. Wadau nisaidieni kwani nani kateuliwa kuchukua nafasi ya Prof Omari pale Diplomasia?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...