Home
Unlabelled
mambo mswano bandarini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inapendeza namna hiyo lakini kuna uchafu karibu na eneo hilo wajaribu kuweka mazingira safi.
ReplyDeleteMdau Kerala-INDO
kesho kutwa kutajaa maembe na manyanya na mabilinganya,hadi kwenye viti,ila amejitahidi hata ulaya sijaona labda Airport
ReplyDeleteKusema kweli Azam Marine big up, tupongezane kwa mazuri mtu akifanya,na kwa hili big up sana,na sisi abiri wa azam Marine tumunge mkono zile tungule na vitoweo vitu tuvifunge vizuri ili nasi kwetu kuwe kuzuri si kila siku kusema aah ulaya ama Dubai bomba si kama hapa.
ReplyDeleteVery Nice!! Je, hii ni kwa ajili ya wasafiri wa AZAM tu au hata boti nyingine?
ReplyDeleteSafi sana,tunahitaji vitu kama hivi na isiishie hapo tuangalie na stendi kuu ya mabasi Ubungo
ReplyDeleteMkuu umesahau free WiFi internet, looks better than Zanzibar International Airport!
ReplyDeletejamaa huyu ana strategy nzuri sana...huyu ndio mfanya biashara mzuri...unavuna..unapalilia...sio kama wengine..keep it up BAKHRESA
ReplyDeleteHivi Watanzania kwanini hamuezi kusifia kwenu? kama nyinyi ma commenter wa kwanza na wa pili ni lazima mueke kitu cha kijingajinga kwa nini hamuendi shule hata za kiutu uzima ili mjue jiinsi ya kujieleza au ni nini cha kuandika? azam ameshajenga sasa na wewe pia ni wajibu wako kama kweli unaipenda nchi yako kusaidia maswala ya uchafu kama kila mtu atafanya hivyo nchi itakua safi, siyo kusema tu oooh kesho kutakua pachafu,,,, ooh nje ni pachafu,, wakati wewe ndo ulotupa ganda la ndizi hapo nje pumbavu nyie mnajua kuponda tu hamjui kusifia.... ngedere nyie wawili...
ReplyDeletethr place looks great keep it up azam.hii ni kuwa serious na biashara watalii wanaoenda zenj at least wanapata kitu wanadeserve na utalii unakuwa kwa kasi sasa with globalization lazima tuboreeshe. changamoto kwa wanaosafirisha watu sasa kwa boti na hata mabasi ya mikoani sio favour bali wasafiri tuna haki ya kukaa mahali safi sio mnakusanya hela hamtuwekei mazingira safi na mazuri kama mmeshinswa kuboresha fungeni biashara
ReplyDeleteSijui ni Mhindi au Muarab, lakini to be honest kati ya wafanyabiashara wakubwa wa kiasia hapa Tanzania huyu jamaa ndiye pekee ninayemkubali. Nakuatakia kila la heri wewe kweli muislam, unajali watu kila kada tena kwa umuhimu na ubora. Labda kuwakumbusha Bakhresa ndiye mwenye AZAM FC, Unga Bora wa AZAM, Maji, Iceream bora kama tupo Ulaya and so many sweets and cookies. Kwa kweli nakuadmire sana. Keep it Up. Sasa Mafisadi waache kumbughudhi maana hawakawii. Natoa Hoja
ReplyDeleteMie navyojuwa Asilimia 90 ya ma Boat kwenda ZNZ yote ni ya Bakharesa AZAM. Hiyo ya Kula Bure ukiwa na Ticket ni Mwanzo tu itakuja kuisha Soon.
ReplyDelete