

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
SWALI LA KIZUSHI: (SAMAHANI ALIHUSIANI NA PICHA HII)
ReplyDeleteAnkal, habari ya mida mida…Ee bana nina swali…Mimi hivi karibuni nilikuwa hapo Bongo mitaa ya Barabara ya mwenge tukipata lagan a mshikaji wangu wa long time. Sasa kilichonishangaza ni hivi: Katika meza ya pembeni yetu kulikuwa na waheshimiwa wawili ; mmoja alikuwa akizikata lagan a mwenzake alikuwa akipata kinywaji cha “Red Bull”. Kilichoniacha hoi ni kuona jamaa wa Red Bull alipokuwa akienda sambamba katika kuagiza kinywaji chake. Jamaa walaga akiagiza na red bull nae anaagiza. Kwa mahesabu ya haraka haraka jamaa wa red bull alizipata kama tano hivi kwa kipindi chini ya masaa hivi. Nilishangaa sana na nilipouliza jamaa yangu akaniambia ukinywa kinywaji hicho unaonekana mabo yako swafi. Swali langu ni hivi Red Bull ni soda au bia? Maana huku kiwanja tunakiita energy drink…yaani ukipiga maboxi usiku alafu asubuhi unatakiwa darasani basi unapiga red bull yako moja ili usisinzie alafu unajitwika darasani...au kama unaendesha gari usiku kwenda tripu ya mbali. Wadau hedu tufafanulieni …
Mdau Wakudumu,
U.S
Mdau wa kwanza nakushukuru hili jambo hata mimie limekuwa likinishangaza sana, nafikiri ni wakati watanzania tukaeliishwa juu ya kinywaji hiki cha red bull kuwa sio kinywaji cha kawaida kama soda au juisi!kwa maana hiyo lazima kina madhara yake kama utatumia bila mpangilio na madhumuni maalum. Bongo tambarareeee
ReplyDelete