BOFYA HAPA

Bro Michu,
Kuna mpendwa mmoja ametoa maelekezo ya namna ya kupata matokeo ya Form Four 2009 kwa kutumia ujumbe mfupi wa simu kwa wale wote waliojiunga na mtandao wa simu wa VodaCom. Malezo yote nimeyaandika kama inavyotakiwa kwenye posti ipo hapa:

http://bit.ly/aYK8zy
Tunamshukuru Augustine Maguta kwa
kutuelekeza namna ya kupata matokeo kwa njia hiyo mbadala!
Shukran!
Subi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. KUDOS MARIAN GIRLS!!!!!! YOU DID IT AGAIN...TO THE GLORY OF THE MOST HIGH GOD!
    PROUD TO BE A MARIAN GIRLS MEMBER!!!

    ReplyDelete
  2. Tip: Km unapata kwikwi na uko ughaibuni ambako masaa yanatofautiana sana na Tz, basi subiri wale walioko Tz walale kwanza. Bila shaka utapata access....

    ReplyDelete
  3. Jamani muwe makini na majina ya shule. Kuna shule inaitwa Cambridge Tanzania Academy (S0937). Yaani Cambridge wenyewe wakiona matokeo yao watadai jina lao lisitumike. Yaani inasikitisha. Matokeo ni kinyume kabisa na jina kubwa la Cambridge. Sijui hilo jina walilipataje...?!

    ReplyDelete
  4. ebwana Kifungilo girls wamefanya mambo. yaani kuna mtoto amepiga one ya 8 points...duh, you go girl!!!

    ReplyDelete
  5. Michuzi naomba watanzania wenzangu wasishangae, hawa watoto wamzidi watoto kw sasa wamezidisha mapenzi huko mashuleni.wanafunzi walio wengi ni kama wameolewa wikiend zote wanajirusha halafu unategemea wafaulu hata mi ningeshangaa.
    Naomba viboko virudi mashuleni ili walimu wawe na uhru wakuwalea hawa watoto.la sivyo hivi vitoto vitaoana sana bila kuzingatia swala la shule.

    ReplyDelete
  6. Unaweza pata matokeo pia kutoka hapa

    http://www.edu.udsm.ac.tz

    angalia kuna links mbili


    CSEE-2009 Result-1
    CSEE-2009 Result-2

    ReplyDelete
  7. Acha hata hao watoto wengi wafeli. yaani wanashindwa kuweka shule kwa alphabet?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...