Arsenal 1-0 Liverpool (goli la offside..)
Aston Villa 1-1 Man Utd
Blackburn 1-0 Hull
Everton 2-1 Chelsea
West Ham 2-0 Birmingham
Wolves 1-0 Tottenham

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 36 mpaka sasa

  1. duuuuuuu!!!!naona sasa ankal michuzi unapenda vibaya .hajaotea mtu pale,,,,nway si unajua hukosi sababu,POLESANA TUMEGAIN MOMENTAM KWA MGONGO WA LIVA SASA SPEED120

    ReplyDelete
  2. Inaonekana hujui mpira wewe! kama goal la offside si ungeeandika 0-0! If u count it,then it is a goal!

    ReplyDelete
  3. Ankal pole ndio game ilivyokuwa.

    ReplyDelete
  4. mh. Michuzi acha kujiaibisha.
    sema ukweli kwamba Liverpool hakuna kitu.
    Mdau birmingham

    ReplyDelete
  5. Ankal mbona unafanya fitna kama za simba na yanga!!hahaha!!Wenger habahatishi especially akiwa anacheza na wagonjwa wa miguu wa Anfield!hahaha!

    ReplyDelete
  6. hahaaa...ankal hao looserfull hawakujaliwa nao japo la offside?pole saaana..tumerudi tena.....

    ReplyDelete
  7. matokeo mazuri kabisa ni man u na watu wa darajani kwa sababu wanavuta pumzi kihisubiri watu wa bunduki waje mnajua bila ulinzi mambo hayaendi safi sana

    ReplyDelete
  8. Hata Egypt Vs Cameroun mliongea sana kuwa waarabu wanabebwa lakini haooo ndio mabingwa na mwisho wa yote kila mtu alikubali kuwa walistahili!!! "Nia haizidi uwezo"

    ReplyDelete
  9. Game ya Arsenal imepigwa London refa alikuwa bongo ndo anasema offside yaani emirates haikuonekana ila K'koo tukaiona hiyo kali. Kubali yaishe mjomba. Arsenal Juu zaidi

    ReplyDelete
  10. Mr.Kasim wa Ahmed na Suleiman wa Masoud mchezo ndiyo ulivyo lakini Hongera sana Ludovickl wa Ndayahundwa na pole Mkuu wa na nihii. Kassim ahadi yetu ipo pale pale

    ReplyDelete
  11. Goli la offside kitu gani, akina Thiery Henry wanafunga kwa mkono.

    ReplyDelete
  12. Kaka refa ni mmoja tuu. Marehemu kafufuka na kumjeruhi mtu. Premier Ligi tamu saaana ... Rafa alisema atwaiga wenzake counter attack ... alishindwaje!!!!
    POLE MKUU.

    ReplyDelete
  13. Kweli Ankal mtaalam wa mpira ile offside inataka mtu alienda shule kama ukwenda shule huwezi kuiona kwani ilikuwa kipunje tu.
    Mdau
    Kisiju pwani

    ReplyDelete
  14. Price nakubaliana nawe kama huyu aliyepost hii results hakuwa ameangalia vizuri game ya jana goli ni halali kabisa cross safi from Rosicky na Diady amepiga header kali without any doubt!!! angesema wamenyimwa penalt maybe angekuwa na point althought Cesc alishika mpira akiwa nje ya mstari wa 18...weldone Everton the tittle race is still for the top 3,plz dont ignore Arsenal wil suprise u

    ReplyDelete
  15. hahaha brother michuzi umenifurahisha sana na comment za matokeo. basi naomba uwekee mabano kwenye matokeo ya timu zingine wadau tujui nini kilijiri katika magoli hayo. Ahsante sana na poleni wapenzi wa Liverpool

    ReplyDelete
  16. Huyo Offside inaonekana ni mchezaji mahiri sana eeh!

    ReplyDelete
  17. weweeeee umefungwa tu offside nn?
    ndo maana 0-1

    holaaa

    ReplyDelete
  18. Ankal pole kwa kipigo cha kuangikiwa na mlevi. MM

    ReplyDelete
  19. http://footyroom.com/arsenal-1-0-liverpool-2010-02/ Michuzi goli hilo hapo, hamna offside wala chochote.!!

    ReplyDelete
  20. http://footyroom.com/arsenal-1-0-liverpool-2010-02/ Michuzi goli hilo hapo, hamna offside wala chochote.!!

    ReplyDelete
  21. Goli za offside!! basi itabidi wapate pointi mbili badala ya tatu.

    ReplyDelete
  22. kaka kubali matokeo kua 1 -0 tu sio kua offside.
    pole ndio mchezo

    ReplyDelete
  23. acha porojo bwana misupu habari ndio hiyo and we are now back to the race.

    rama,nairobi

    ReplyDelete
  24. hii offside labda kipa wa liverpool pale au tv za bongo zinaonesha hivyo? gerad kila akijiangusha si unamjua tena akifungwa hujiangusha golini tu kila siku

    ReplyDelete
  25. duhhh pole ankali yaani wewe uliyeangalia mpira kwenye luninga umeona vizuri kama diaby kaotea kuliko hata refa aliyekuwa uwanjani au wale wachezaji wa liverpool manake hakuna hata mmoja aliyelalamika lakini wewe ankali unalalamika lilikuwa offside dah kweli ankali mshabiki wa kweli yaani wewe yaelekea ukipenda hata kama mtu ni kipofu utasema ana chongo yule na kumsaidia kushika fimbo kumuongoza ni fasion tu lakini anaona!

    ReplyDelete
  26. pia na penati mmenyimwa dakika ya mwisho

    ReplyDelete
  27. ukipenda chongo huita kengeza mbona matokeo yapo kinyume kabisa.

    ReplyDelete
  28. duuuu, haya kaka ... sasa itabidi tufunge magoli ya mbali kama Arshavin alivyofanya Anfield

    ReplyDelete
  29. magoli ya offside wanafungaga man u! sio sisi arsenal wewe

    ReplyDelete
  30. KAKA HUJUI KUWA MAITI IMECHANA SANDA?HAKUNA TENA WAIKUVESHA SANDA ARSENAL.

    ReplyDelete
  31. du! hakuna kitu kitamu kama kuwa na mke... vibaka walituvamia wakatupigaweeeeee mpaka wakatosheka. tumerudi nyumbani nyang'anyang'a mke wetu katukanda sasa tunajisikia nafuu... sasa ole wenu nyie mnaojiita mashekhe yahya na kutabiri ubingwa umebakia kwenu wawili... taratibu tunakuja kama tunanawa...

    ReplyDelete
  32. Duuuuuh! kama lile ni off-side sasa man united itabidi atolewe point 38 za magoli ya off-side angekuwa juu ya porth kwa magoli

    ReplyDelete
  33. Mdau wa Thu Feb 11, 04:20:00 PM, ile sio penalti kwani ilikua kwenye "D", nje kidogo ya 18 yards area. Kwa kua alidhamiria kupangua mpira ule kwa mkono basi hakika ilikua ni straight red kwa Cesc, shukrani kwa Web na line man wake kutoionaile incident

    ReplyDelete
  34. Mie nadhani huyo Ano aliyesema Magoli ya Offside wanafunga Man U anatukosea adabu. Ina maana kipigo cha bao tatu mbele ya washabiki wako hakikutosha bado unatufuata fuata?, au unatafuta kingine tena? Tatizo la Arsenal wanachonga sana na chekechea wao. Kama huyo mchumi wenu (a.k.a Prof) hata badilisha ile timu, mnaweza mkaishia pabaya, kama sio msimu huu basi unaofuata.

    ReplyDelete
  35. Kweli unapenda vibaya,kama wale jamaa wa K'ndoni Mtaa wa Sekenke,haya yote sawa.Offside kwa Arsenal cku zote.

    ReplyDelete
  36. Ndio tunakubali si offside - lakini jee zile penalti mbili refa alizojifanya kipofu ati hakuziona. Premier League ni ligi kubwa duniani lakini - marefa sijuwi huwa wana team zao - maanake tumeona mwaka jana walivyoikosesha ubingwa liverpool - kulikataa goli walipocheza na stoke city. Mwaka huu goli la Sunderland - beach ball story - jamani semeni ukweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...