SHEREHE ZA MAULID ZINAZOADHIMISHWA KUSHEREHEKEA KUZALIWA KWA MTUME MUHAMMAD S.A.W ZITAFANYIKA KITAIFA MKOANI MTWARA IJUMAA USIKU WA FEBRUARI 26, 2010 MKOANI MTWARA, KWA MUJIBU WA TAARIFA KUTOKA MAKAO MAKUU YA BARAZA KUU LA WAISLAMU (BAKWATA).
KAMA ILIVYO ADA, JUMAMOSI FEBRUARI 27, 2010 SAWA NA MWEZI WA 12 MFUNGO 6, ITAKUWA NI SIKU YA MAPUMZIKO NCHI NZIMA. KATIKA TAARIFA HIYO BAKWATA LIMEWATAKIA WANANCHI WOTE MAPUMZIKO MEMA
si kwmaba ni alhamisi kuamkia ijumaa! nishajitne kuwa friday tunakula bata..umenitoa mud michu!!
ReplyDeleteAhsante sana
ReplyDeletesalla llahu alayhi wasalam.
ReplyDeleteMICHUZI ACHA KIMBELEMBELE, HAPA OFISINI KWETU KUNA KARENDA IMEONYESHA TAREHE 26* NI SIKUKUU NILIPANGA NISIJE KAZINI HATA KAMA MWEZI HAUJAFANYA NINI SIJUI, ALAFU NIKIULIZWA JUMATATU NISINGIZIE SIKUKIONA KILE KINYOTA KWENYE TAREHE, INGEKUWA EKSKYUZI TOSHA SASA NA WEWE HAPA UMELETA HABARI YA KINOKO.
ReplyDeleteunabana eee?
ReplyDeletenarudia "ivi sikukuu za wezetu izi?basi tu" kalenda zote zasema 26* mara sikukuu jmosi
aaagh