Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. CSEE 2009 EXAMINATION RESULTS

    S0785 DAR-ES-SALAAM CHRISTIAN SEMINARY

    DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 2 DIV-IV = 38 FLD = 23

    ReplyDelete
  2. mara hii mtacheza gwaride na ffu,kili award iwakubali wanamziki wanao fanyia kazi nje ya bongo kwa mchango wao au kuwatosa wanamziki hao,na ikiwakubali na kuwapa tuzo la Kili,basi kamati ya Kili Award itakuwa imefanya kazi kubwa iliyokuwa inasubiliwa na watanzania walio wengi,kuwa kazi na mchango wa wasanii wa bongo walio nje nao ukubalike

    ReplyDelete
  3. Kinachoshangaza ktk gemu la mziki la bongo ni kwa kamati kama ya Kili Award pale wataakapo kubali kuwatosa watoto wao wa kibongo na kuwapa nafasi za mwanzo wanamziki wa nchi nyingine hili mradi wasiitwe wabaguzi.Kamati ya Kili Award iutambue mchango wa wanamziki wa Tanzania kwanza harafu ndio wanaaoitwa best of East african musician ect..
    vinginevyo watakuwa wanatuchezesha wabongo mazingaumbwe ya viini macho

    ReplyDelete
  4. Kili award itakuwa biashara ya kichaa kama watacheza mchezo mchafu wa kuwapa music award watoto wa jirani baadala ya kuzitambua kazi na juhudi za wanamziki wa Tanzania.hitakuwa ni sawa na makosa yaliyo fanyika pale kampuni ya bia ilipo wapa milioni 200 bendi ya Akudo,heti kwa kuwa inamilikiwa na Kigogo,kama pesa zile wangepewa msondo au Sikinde,au twanga zingesaidia sana katika kukuza na kuendeleza

    ReplyDelete
  5. kwa nini kuwepo na longo longo? wakati inajulikana wazi kuwa nia na madhumuni ya Kili Award ni kuzitambua na kuzipa moyo kazi za wanamziki wa Tanzania,wawe ndani au nje mradi kazi zao kama zimefanya vizuri ktk kuchangia kukuza na kuendeleza mziki wa bongo basi kamati itabidi ifuate malengo na kuwapa Award walengwa,huo utakuwa sio ubaguzi bali ndio lengo ka KILI AWARD,kamati ya Kili Award lazima ichambue nini? madhumuni na malengo ya Kili Award,sio kwa kila mwanamziki bali kwa walengwa na walengwa ni wanamziki wa tanzania,hakuna huruma mbele ya sheria,sheria nichombo cha haki,kwanini ?pawepo na huruma? haki lazima itolewe kwa walengwa

    ReplyDelete
  6. Tuzo za Kili music award zitachekesha sana kama zitatolewa kiolela bila kumfuata utaratibu wa walengwa,nani? mlengwa wa kupewa tuzo hizi?
    Nini? aswa madhumini na malengo ya Kili award,kama nia na madhumuni ya Award hizi ni kutambua umuhimu na mchango wa mwanamziki wa tanzania basi walengwa lazima wapewe Kili Award.
    Au kama hili mradi tu yeyote yule hapewe basi Kili Award itakuwa aina maanaa yoyote kwa wanamziki wa tanzania,ambao wana malengo la kufikia kiwango cha kimataifa.
    Tuichukulue Kili Award ni sawa na mbegu bora kwa watoto wetu,sasa kwani tuitoe kwa kila mtu?heti kwa vigezo kuwa wanaishi hapa nchini?
    Waatakapoenda nje ya nchi tanzania hawaijui tena na ukiwauliza wanajisifu kuwa ni wazairwa bana kongo.
    Kamati lazima ifuate nia na madhumuni ya Award ya Kili

    ReplyDelete
  7. kama kamanda wa ffu ras makunja atapewa kili award ni haki yake,kajamaa kamejituma sema tuu wakati mwingine roho mkononi na washabiki wake,maana mziki wenyewe ni hatari tupu,pale washabiki wanapohamua kuwazidi nguvu walinzi na kukweka jukwani ni hatari tupu

    ReplyDelete
  8. UNAJUWA MAANA YA MIONGO KUMI NA MBILI AU UNAPAYUKA TU.

    ReplyDelete
  9. hayo yote ni danganya toto, pesa mfukoni. tusubirie uhamuzi sasa. all the best

    ReplyDelete
  10. Yaani huyu Nyoshi elsadat miaka yote hiyo aliyokaa bongo bado anajifanyisha hajui kuongea kiswahili vizuri!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...