Mkuu wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (SJMC) Dkt Bernadeta Killian ( katikati) akisisitiza jambo leo jijini Dar kwa waandishi wa habari huku akiwa ameshika chapisho la jarida la kitaalum la Scribes liloandaliwa na Baraza la Habari Tanzania(MCT) . Kushoto ni Rais wa MCT Jaji Robert Kisanga na kulia ni Meneja mapachisho wa MCT John Mireny.
Mkuu wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (SJMC) Dkt Bernadeta Killian ( kulia) akizundua jana jijini Dar es salaam jarida la kitaalum la Scribes liloandaliwa na Baraza la Habari Tanzania(MCT) . Katikati ni Rais wa MCT Jaji Robert Kisanga na kushoto ni Katibu Mtendaji wa MCT Kajubi Mukajanga.
Mkuu wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (SJMC) Dkt Bernadeta Killian ( kulia) akionyesha machapisho ya majarida mbalimbali baada ya kuyazindua jana jijini Dar es salaam yanayohusu tasnia ya uandishi wa habari ambayo yameandaliwa na Baraza la Habari Tanzania(MCT) . Katikati ni Rais wa MCT Jaji Robert Kisanga na kushoto ni Katibu Mtendaji wa MCT Kajubi Mukajanga

Ni swali tu..kama mdau jina la kiswahili lilikosena kwa hilo jarida?
ReplyDeleteJARIDA LINATUMIA LIGHA GANI?
ReplyDeleteSCRIBE IN MAANA NYINGI TU MOJAWAPO IKIWA MWANDISHI WA HABARI = JOURNALIST LABDA WALITAKA KUMAANISHI WAANDISHI WA HABARI , NI JOURNAL KWA AJILI YA WAANDISHI WA HABARI, BUT THEY COULD FIND A SIMPLE NAME COMMON TO MANY, AND ASSOCIATED WITH OUR TRADITIONAL
ReplyDeleteTtizo ni kwamba Wabongo bado tunathamini lugha za wageni. Tunafikiri kingereza ni maendeleo :)
ReplyDeleteMbona viongozi wengine wanapovaa mashati hawapendi kuchomekea ndani? Kama ni Kaunda suit inaeleweka. Lakini vinginevyo ni mwaswali mengi kichwani
ReplyDelete