Mdau Peter Mukama Maiga akitabasamu baada ya kuvuta nondozzz yake ya BSC in Computer Technology katika chuo kikuu cha CAVITE STATE UNIVERSITY huko PHILIPPINES. Hivi sasa kahamia chuo cha Ama Computer University kuongezea nondozzz ya IT huko huko Ufilipino. Peter akiwa na rafiki yake toka Nigeria, AFOLABI OWOLABI, ambaye kala nondozzz ya
Masters in Engineering.
Mdau Peter akiwa na marafiki wa Afrka na wa kutoka maeneo mbalimbali waliojumuika naye kwenye mnuso aliouandaa kwa sherehe hiyo nyumbani kwake.








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hongera saaaana mdau wa filipino kwa kula nondo kaza uzi hadi kieleweke

    ReplyDelete
  2. Hongera sana.

    Hakuna utajiri kama elimu.

    (US Blogger)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...