
Mr Bonny Milinga akimkabidhi tuzo Mister Valentine 2010 Napoli Italy Mr Salim Mapoz,pembeni ni mmoja wa wasimamizi wa tukio zima ndugu Allan Bendera.
Mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za valentine mjini Napoli.katika sherehe hizo mwenyekiti alitumia nafasi hiyo kuwashukuru wale wote waliohudhuria na wote walioshiriki katika kufanikisha sherehe za siku ya wapendanao, mwenyekiti aliwapongeza miss & mister valentine 2010 na kuwataka wawe mabalozi wa jumuiya na kuhimiza umoja baina ya watanzania.
HIVI JAMANI SAUDI ARABIA HUWA PANA ENDEKA-? NAONA HAKUNA ANAYE ENDA HUKO KUPIGA BOXI.
ReplyDeletewabongo bwana kila kitu kuiga laiti mngejua historia ya valentine day wala msingefanya haya mfanyavyo labda kama akili ya mtu iwe finyu
ReplyDeleteAllen!Please keep in touch ka_ssa@yahoo.com.Its very important!
ReplyDeletesaudi panaendeka lakini lazima upate sponsor waarabu matajiri bwana zaidi ya wangungu na hawana sera za kuzalilisha watu ndo maana kubeba box si sana kama ulaya na marekani.
ReplyDeletenjo karibu sana utatajirika ukiwa umangani zaidi ulipo huko nja tupu bajeti kiyama wazungu ndo zao hawali,hawastarehe hawafi bila ya bajeti.Tena ukiwa new york ndo kabisa utakufaaa hivi hivi huku unajiona nakupa life fact mimi nishaishi sana new york brooklyn.
sasa niko umangani napeta mwanangu raha mstarehee
mdau #1 ata me nafikiliaga ilo sana
ReplyDeletesasa adi upate mfadhili tena wa kiarabu?
mh
Watanzania mna mambo! Copy n paste kwa kwenda mbele bila tafakuri! Hayeni!
ReplyDeleteteh teh, kwa mbaaaaaaali teh teh aaaaaaanha!!!
ReplyDeletemdau uliyeko uMANGANI HEBU TUPE SIMBI BASI INAKUWAJE MTU AKITAKA KUJA HUKO? UMEONGELEA UFADHILI WA MWARABU HEBU CHANGANUA HII KIDOGO IMEKAAKAAJE. NATAKA KUJA HUKO BWANA HUKU MAMTONI LIFE IMEPINDA SAVINGS ZINAKUWA NGUMU SANA. MI NINA SHULE YANGU NZURI TU LAKINI MAMTON I KUMEKUWA TIGHT NA NYUMBANI BONGO SITAKI KURUDI NAFIKIRIAGA SANA KUZAMIA UARABUNI ILA SIJAPATA UTARATIBU MZIMA WA JINSI YA KUISHI HUKO NA JINSI BOX LINAVYOPATIKANA.
ReplyDeletehuo c wivu wa kimaisha ni ujinga 2.kwani mnawasema wakirudi ndio wa kwamnza kukaa nao ktk mabaa hta pumz ham2pi cm kibao.hujaamka hodi tele jiaangalieni.........
ReplyDeletehuo c wivu wa kimaendeleo m2 hachaguliwi kwa kwenda kutafuta.mnasetusema tukirudi wakwanza kututafuta mnataka tustarehe wote.hujaamka nje wagongewa hodi sio mpango huo..........................
ReplyDeleteHuyu KDK kumbe yuko Italy!!
ReplyDelete