Mkutano mkuu wa Bakwata uliofanyika Dodoma katika ukumbi wa African Dreams umemalizika kwa mafanikio makubwa. Pichani ni msafara wa Sheikh mkuu Mufti Shaaban Simba akisindikizwa na masheikh wa kitaifa na wajumbe wa mkutano ukitoka kwenye ukumbi wa mkutano pamoja na wajumbe wengine.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...