Ndugu Michuzi,
Natafuta msambazaji wa bidhaa za chakula na usafi kama kwa kizungu wanavyoita Dairy,Condiments,Groceries, na cleaning and packaging.Mdau yeyote anayejihusisha katika shughuli hizi awasiliane nami kwa namba 0787 339 699. Vigezo na masharti vizingatiwe:-
1. Awe amesajiriwa kufanya biashara na kuwa na namba ya VAT,
2.Bidhaa ziwe na ubora unaotakiwa
3.Bidhaa ziwe zinauzwa kwa bei ya jumla
4. Bidhaa ziwe za bei ya chini kulinganisha na bei ya rejareja ya Dar.
5.Msambazaji awe wa uhakika hatuhitaji wasanii au madalali.
6. Malipo ya awali yatatolewa kulingana na maelewano.
7.Malipo yote yanalipwa kila baada ya siku 30.
Kama uko tayari nipigie 0787 339 699
au nitumie bei zako kwa e-mail
au
Tafadhali mkuu wa nanihii niwekee kwenye blog yetu ya jamii ili wajasiamali wachangamkie nafasi hii. Ni mie mdau wa libeneke na nani hii.
Nestory.
wewe mtaka biashara una mzaha au??
ReplyDeletenini sasa ilo libelenge la email yako?
nyang'au
Unamzaha wewe. Unatuletea mambo yako ya unilever hapa?? hutaki biashara wewe maana hayo malipo na manunuzi masharti yake siyo yenyewe. Utasubiri sana kaka
ReplyDelete