Mwenyekiti wa MISA –TAN Ayub Rioba akisisitiza jambo jana mjini Dar es salaam kwenye mjadala wa majukumu ya vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu ujao. Wengine katikakti ni Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dunstan Tido Mhando na Mkuu wa Sauti ya Ujerumani kanda Afrika na Mahariki ya Kati Ute Schaeffer (kushoto) .
Washiriki na waandishi wa habari walioshiriki mjadala wa majukumu ya vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu ujao. Majadala huo uliandaliwa na Sauti ya Ujerumani.
Picha zote Tiganya Vincent- MAELEZO


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Msisahau kutuandalia mdahalo ili tusiuziwe mbuzi kwenye gunia.

    ReplyDelete
  2. ingependeza tukifahamishwa waliyojadili japo kwa muhtasari.

    kusema wamejadili na kuweka picha haitoshi, si sawa na kuweka picha za birthday ambazo zinaweza kujitosheleza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...