Ankal pole sana na majukumu.
naomba nitumie blog hii ya jamii kuwahabarisha wale wote wa Form IV 1998 ST. ANTHONY wajitahidi kuwasiliana dada Esther ( 0653 287676) awapatie Suprise ya 2010.
Remember It's flash back time.
Mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Haya kabwela Noel Maly na wenzako akina Antoni kundi fanyeni haraka,changamkieni tenda hiyo....lol.... wanafunzi wa taasisi ya st antony

    ReplyDelete
  2. nafurahi kuona watu wameanza kurespond ninaomba atakae ona tangazo hilo amtaarifu mwenzake na tuwasiliane haraka iwezekanavyo.tufahamishane uko wapi na utupatie contacts zako thru 0653287676/0766443303-Easter
    0715281109 Noel 0713256317 Inviolata. au visit facebook-
    St. Anthony's Sec. School O' level class of 98 Reunion.
    Easter

    ReplyDelete
  3. Its a brilliant idea, keep real jamani tukutane tu catch up, tule nyama choma, mdudu kama inawezekana tukutana na ndugu zetu kina mally, easter, paul manyoya, isaac nguga, bomi muba, nalitolela, sanga, kina dogo, eliza, sharon, angel, ndugu zetu jovin, sapra... julu wote hata walimu tuluka, mbungo, masabo, miss joy, ndinda, mpasuka lugoo, mrs adams wote

    ReplyDelete
  4. du,vijana mmenigusa japo mi si mwenzenu wa98, mi niliwabebea tofali kuijenga st.anthony 89-92, mlipomtaja Turuka,mama adam na masabo! ha? huyu tuluka 89 alikuwa na pickup hashikiki! wapeni hi wote pia mlimsahau Mtaita.

    ReplyDelete
  5. Wadau kweli history kitu kitamu sana....nimekumbuka mbali sana.Mimi katika wote nimemkumbuka sana Acadenic Master ndg Rwegerala au Rwegelera sijui......haa ha ha ha haaa haaaaa..mzee mniko yule jamani......haha haa ha ha haaa...Angel Shio,Shelo,Brenda,Paulo manyoya,Noel na wengine wanamkumbuka yule........

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...