Ankal,
Mwenzio nimesikia lile tukio la pale daraja la Salenda Briji la yule dada kuota
manyoya kisha akapotea. Mi siwezi kusema siamini ama naamini ila kuna
suala la uwazi hapa naliamini ya kwamba WANANCHI WATAANZA KUOGOPA
KUWAPA OMBAOMBA PESA haswa wa barabara ile.
Mwenzio nimesikia lile tukio la pale daraja la Salenda Briji la yule dada kuota
manyoya kisha akapotea. Mi siwezi kusema siamini ama naamini ila kuna
suala la uwazi hapa naliamini ya kwamba WANANCHI WATAANZA KUOGOPA
KUWAPA OMBAOMBA PESA haswa wa barabara ile.
Nikakaa nikaona nitumie akili kuwasaidia watu hawa, nikamwita kijana ninayemfahamu tutengeneze tovuti ya ombaomba kisha kila mtu anayejisikia basi achangie kupitia
tovuti, tena hata wabeba box wanaweza kujikusanyia thwawabu, halafu
sisi tuwafikishie ombaomba. Nia njema tu.
tovuti, tena hata wabeba box wanaweza kujikusanyia thwawabu, halafu
sisi tuwafikishie ombaomba. Nia njema tu.
Nikiwa nimeshamlipa kijana pesa nyingi tu na website ameshaitengeneza mara mai mpenzi wangu amenibadilikia kuwa si wazo zuri eti lazima niwe na kibali rasmi cha kuwaombea ombaomba maana serikali itathibitishaje mimi naifikisha n.k nikamwambia hiyo hata kanisani hatuwezi kuthibitisha na tunapeleka sadaka kila Jumapili. Nikamwambia nitakuwa nna utaratibu rasmi wa kuzipeleka hizo pesa kwa ombaomba. Amenibishia sana (nahisi pia
anaogopa manyoya au nitapotea)
JE, NI KWELI NISIANZISHE HII WEBSITE HADI NIIDHINISHWE? NA KAMA NDIO, NIANZIE WAPI huo utaratibu wa kuidhinishwa? Mimi logically najiona tu ka wale ombaomba ila natumia teknolojia, sasa kwani wale wamethibitishwa?
anaogopa manyoya au nitapotea)
JE, NI KWELI NISIANZISHE HII WEBSITE HADI NIIDHINISHWE? NA KAMA NDIO, NIANZIE WAPI huo utaratibu wa kuidhinishwa? Mimi logically najiona tu ka wale ombaomba ila natumia teknolojia, sasa kwani wale wamethibitishwa?
Wadau nipeni mawazo, jela mbaya mi kufungwa sitaki!
Dada Mkunde
Dada Mkunde
ONI LANGU, anzisha tovuti tuchangie watu wanao hitaji msaada kama huyu mtoto hapa chini.
ReplyDeleteama tuchangie ujenzi wa zahanati, huo utakuwa usaidivu endelevu zaidi .
- mpiga box( si mbeba box kama mnoko wao ulivyoteleza). LOL
Omba omba wengine ni matajiri kuiko hata sisi tunaofanya kazi, wana nyumba na mifugo huko kwao hasa wanaotoka Dodoma. Wenzio wamefanya omba omba ndio kazi na si kwa shida. Kuna dada mmoja alikuwa amepanga kwenye kibanda changu mwaka fulani, yaani alikuwa mzima wa afya, wa kufanya shughuli za kuzalisha mali, lakini aliamua kuwa omba omba wa mitaani.
ReplyDeleteKuhusu watoto wanaoomba mtaani wengine wameajiriwa maalumu kwa kazi hiyo nasikia kuna watu Mwananyamala kazi yao asubuhi wanawatuma watoto kwenda mjini kuomba, kisha jioni wanapeleka makusanyo, na wao kugawiwa pesa kidogo. Wengine wanatumwa na wazazi wao ambao wanakaa nyumbani kusubiri mapato ya siku. Kuna vituo vya kulelea watoto wenye shida, wa mitaani kama Dogo dogo centre, na kuna vituo vya kulelea watoto yatima. Dadaangu hujiulizi kwanini hawa watoto hawataki kukaa kwenye hivyo vituo?
Pili kuna nyumba za kutunzia wazee huko Kigambuni, sijui kunaitwa Nunge, lakini hawa nao hutoroka na kuja mjini kuomba. Wakishapata pesa na pombe za kienyeji kwa kwenda mbele.
Mimi nafikiri mtu alikaa akawaza kuwa hawa watu atawakomoaje waache kuomba omba ndio akatunga hiyo hadithi ya "mkono wa manyoya" maana imefanya kazi iliyoshindikana na serikali ya kuwarudisha makwao. Tanzania nzima kuna shida hakuna ambako kijijini kuna raha, sasa wewe ikufungua hiyo website yako na kuanza kuchangiza si ndio utakuwa unawancourage watu wakimbie vijijini shughuli za kilimo na kwenda mijini kuomba?
Mswahili
Hapo kwa kweli mme wako yuko sawa kabisa,huwezi kujianzishia kitu tu bila kufuata taratibu zote za kisheria katika nchi husika,sasa wewe uwe specific kama unaanzisha NGO fuata taratibu zote za uandikishaji manake hapo unakusanya fedha za watu kwa mtindo wa kisasa kwa hiyo dada kibali lazima upate ama utajikuta ukitundikwa mahakaman kama jamaa wa DECI.Kuhusu makanisa usifikiri yanaanzishwa tu bila kufuata taratibu za kisheria na wao wanakibali pia cha kuoperate kanisa.Na kuhusu kibali utapata wapi unaweza kuanzia ofisi za manispaa uliyopo wao watakupa utaratibu zaidi.Halafu hiyo ishu ya kuota manyoya siyo kweli mtu hawezi kuota manyoya akimsaidia ombaomba,na kama itatokea umeota manyoya baada ya kumsaidia ombaomba nenda hospital utapata matibabu labda kutakua na kaugonjwa amekuambukiza.
ReplyDeleteWewe anzisha tuu hiyo web halafu hata sisi wabeba mabox tutachanga pesa maana ukiulizwa hatuna fikira kabisa..,yaani tufanye kazi kama balaa halafu tukukabidhi kirahiiisi!!Vioja!
ReplyDeletekuna watu kweli wanajua jinsi ya kujipatia pesa kutokana na matukio, hivi umeona watu ni wajinga saaaaaaaaaana, si ndio? tapeli mkubwa wewe,mbona kwenye matukio ya haiti na kilosa haujatengeneza hiyo tovuti?
ReplyDeleteDada Mkunde, nia yako ni nzuri kabisa, ila kama mpenzi wako alivyosema kuna taratibu ambazo inabidi zifuatwe ili kuhalalalisha kisheria hiyo website.
ReplyDeleteDepending on the laws of the country you are, you will need to set up a charitable organisation. It could be a charity, a company limited by guarantee or in Tanzania an NGO.
Remember that setting up this type of organisation can be a daunting prospect. Depending on which country you are, you may have heard stories of long, cumbersome procedures, and how difficult the regulators can be.
Well, the good news is, it doesn’t have to be like that. As with so many things, the key is to get the right advisor. They know how to navigate the smooth channels and avoid the rocks. Critically, they should set you up with a governing document (Katiba) and structure that is robust, future-proof and acceptable to the regulators.
Finding the right advisor is critical, and not necessarily easy. Check their experience. It’s a specialist field and few lawyers especially in Tanzania are experts in it.
Alternatively, if you are in a country like UK, you could always do it yourself. The UK Charity Commission provides a lot of useful guidance and, provided you find the right governing document, the procedure is not rocket science. But be aware that the saving on fees can be more than offset by the potential delays and complications of going it alone.
In Tanzania, I am not sure about the procedure but it advisable to find an appropriate and experience person to help you.
You also need to think whether the organisation you intend to establish is the right structure for you. For example, there are many benefits of having charitable status, but the downside is that you are more restricted on your freedom of operation and control.
If you are looking to formally establish a charity for these people, you must have more than just vision and ideas. You need to be able to demonstrate to the regulators that you are financially viable and ready to operate. Some evidence of income, or prospective income a year may be expected. Anything below this and you have to query the value of setting up a charity.
Having decided on your legal structure, you need a specific governing document. If you have chosen the company structure it will be Memorandum and Articles of Association. If you want to become a charity then you will need something like a constitution.
Your charitable purposes will need to be wide enough to cover all anticipated activities. Be careful not to be too precise or limiting, and allow for wide geographic operation. These purposes also need to be expressed in ways recognised by the law of the country.
The website you have established will merely be part of the organisation. Some may demand to have a physical address where the organisation is registered.
I think you have a great idea but you need to follow the legal procedures to accomplish it. If the organisation is properly established you may also be able apply for funds from the government or other big organisations to fund yours.
So please be careful with those who says "wewe anzisha web tuu hiyo web tuu sisi tutachangia".
Since I am from the legal background and work in a charitable organisation organisation in the UK, I could have provided you with some background information if you intend to run the organisation from the UK. I am afraid, I am not aware with the procedure of setting up a charitable organisation in Tanzania. It is a shame that Tanzanian universities do not teach charity law, unless they do now. In the west the non-for-profit sector play a crucial role in the welfare of the people, but in our countries most of these organisations are being politicised.
Whatever the case I would advise you to find an adviser. Or you can visit some other local NGOs probably they give some hints on how they set theirs and where to get an adviser.
dada MKUNDE!!!!!!!! wewe ni mchagga siyo, achana na wazo hilo, hivi unajuwa kuwa MATONYA sijuwi yu hai maana nilitoka Bongo samani, ana wake 6 kwao dodoma na kila mke ana nyumba nzuri tu na ana ng'ombe 1000 na mashamba kibao!!! MATONYA HUYO, YULE MZEE ANAOMBA KWA STYLE. USIANZISHE ACHANA NAYO HIYO NI KAZI YA SERIKALI
ReplyDeleteWe anon kuna umuhimu gani kuwa na websites mia za Haiti tu? Haiti hata haijatangazwa websites tayari ilishawekwa, watasha soo, hawalazi zege, redkrosi zote zinaokotezea Haiti. Mi nakuunga mkono dada japo naamini utahitaji ujihami kisheria. Pia website iwe wazi ioneshe kila aliyechangia ili wadau tujue tupo wapi kimustakabali ama kimahesabu. Wabeba box wapenda nchi watasaidia km mtu hana hana tu hata umwekee website. Usisahau paypal dadangu ndo yenyewe.
ReplyDeleteyaaaani,we acha tu!!mimi nampa sapoti anon wa feb 26,01:00:00 AM., ni utapeli tu , hamna kitu
ReplyDeleteMnaopenda kuwapa msaada wapeni yatakayo wapata ni size yenu.Nafikiri hii ndio njia bora ya kuwaondoa mjini. Heko kwa aliyebuni. Hawa Omba omba wengi wao ni wasanii tu, wanaweza kufanya kazi bila kutegemea watu.
ReplyDeleteMimi siku moja pale posta mpya karibu Kituo cha mafuta cha Gapco pembeni ya jengo la IPS nilimkuta Omba omba mmoja anaomba msaada tena anatia huruma kweli, na alikuwa anaonekana kwa macho ni mlemavu. Nikampa msaada tena hela nzuri tu kwa kumwonea huruma kwa vile kulikuwa na dalili za mvua, nikijua angalau anaweza kuishi kwa siku ile hata kama atakosa msaada.
Huwezi amini baada ya dakika kama mbili mvua ikaanza kunyesha, Du yule jamaa akabeba boksi alilokuwa amekalia na alikuwa mzima, hata wafanya biashara walikuwa jirani walikuwa wanajua jamaa ni muigizaji tu na sio mlemavu. Akaja kuwaaga wale wafanyabiashara kuwa anakwenda zake badarini. Watu wa aina hii wanakatisha tamaa hujui yupi ni mkweli. Bora wote waende zao kwenye vijiji walivyotoka.
Kuna ombaomba mwingine huyo anatoaga kali huaga anaomba kwa staili ya kipekee,yeye anakufuata karibu halafu anafungua shati anakuonyesha ukichungulia utaona utumbo uko njee sasa watu hasa wanawake walikuwa wakiona hivyo wanapiga kelele halafu wanampa hela harakaharaka,sasa siku moja aliingia baa moja ubungo kwa nia ya kuonyesha watu huo utumbo wake ili apate kipato,akaenda moja kwa moja kwenye group moja ya walevi walipomwona tu akawaonyesha utumbo sasa bahati mbaya kwenye hiyo group kulikuwa na Doctor.mmoja akasema haiwezekani akamwita huyo ombaomba akafunua shati lake vizuri ili aufanyie uchunguzi kumbe alikua ameshikilia kwenye tumbo lake utumbo wa kuku nakuambia alitoka spid kubwa.
ReplyDelete