Mjomba naomba nafasi kurusha shida yangu kwa wanaglobu!
Mimi ni mpenzi wa mbwa sana tu, natafuta DOBERMAN PINCHER (JIKE) na ROTWEILLER (DUME) puppies kwa ajili ya kufuga.
Mimi ni mpenzi wa mbwa sana tu, natafuta DOBERMAN PINCHER (JIKE) na ROTWEILLER (DUME) puppies kwa ajili ya kufuga.
Aliyenao, au anayefahamu nitakapowapata naomba awasiliane nami kwa barua pepe
Angalizo; “wawe pure breed” tafadhali
Weekend njema
Mdau Semesozi
Weekend njema
Mdau Semesozi
Duu! Mbwa shoka hao, hakuna mpole hata mmoja kati yao. Cheki na polisi labda.
ReplyDeleteMkubwa, sasa huyo dume unamtaka wa nini?
ReplyDeletesema mimi napenda KUFUGA MBWA sio kusema mimi ni mpenzi wa mbwa au kiswahili hakina maneno mengi
ReplyDeleteSasa wee anon wa tarehe 28/02 11:00 unamsahihisha na kwa misingi gani kwani wewe hujui kua umbwa ni shemeji zetu??? Ebo
ReplyDeleteguys: nasahihisha lugha kama nilivyoelekezwa na mdau! NAPENDA KUFUGA MBWA na ninahitaji Doba na Rotty (Doba Jike na Rotty dume). Kuhusu namhitaji dume wa nini kwa nini hujauliza jike wa nini? Ni bora kama huna cha kusema ukae kimya. Tusitumie networking vibaya. Shukran, Semesozi
ReplyDeleteHao mbwa uwatajao, ni wa kumwaga kule ukerewe! ila nasikia lazima uwe na kibali cha kuwafugia kwani mara nyingi huya wanauwa watoto si mchezo wee google tu utaona.
ReplyDeleteWakichukia wanaweza wakakung'ata hata wewe mwenyewe.
Mimi ningekushauri utafute German-Shefferd.kwani ni wazuri na kuwafundisha ni rahisi. Na kama ni kwa matumizi ya ulinzi binafsi basi wanafaa.
ni hayo
Mdau wa Tanangozi Iringa
Asante sana mdau wa Tanangozi kwa ushauri!
ReplyDeleteKama nilivyosema napenda ufugaji wa mbwa, tayari ninao German Shepherd kadhaa, niliwahi kuwa na Doba (siyo pure breed). Nia yangu ni kuwatumia kwa ulinzi na pia kama hobby. Najua walivyo hatari...hasa Rotty; ila nafuga kwa kuzingatia masharti ya kitaalamu na usalama!
Asante, sasa una maanisha UKEREWE au UK-Rewe?
Huku Ukerewe kuna mtu kashtakiwa baada ya mbwa wake Rott dume kumvunua vufu la kichwa mtoto wa miaka 5 aliyekuwa anacheza kwenye park, kama si babake kupambana naye huyo mbwa huyo mtoto angalikufa. Nimesoma hiyo story jana tu kwenye yahoo na kuona picha za huyo mtoto alivyoshonwa na kuwa na kovu kichwani kuanzia sikio moja hadi lingine.
ReplyDeleteHivi huyu Rott nini sijui ni mbwa wa kawaida au mbwa mwitu au chui asiye na madoa? Tafuta hiyo link kwenye yahooutaikuta hiyo story. Au unataka kufanya cross breeding?
Ukiwa na rotweiller au doberman hakikisha hauwaachi mbwa hao na watoto. Zimetokea kesi nyingi sana za mbwa hao, hasa rotweiller, kuua watoto. Kuna mbwa wengine ambao si hatari sana kwa watoto lakini wanafaa kwa ulinzi.
ReplyDeletembwa hao inaonekana dili hata kamari unaweza ukawachezesha..
ReplyDeleteyani hii blog/globu inakufanya uwe chizi kwa kucheka peke yako dah!!
ReplyDeleteyani ninacheka apa???
wee annon 28feb,4:18pm
kazi ipo umu