Mkamiti kibayasi wa Voice of America (Swahili) amefiwa naMama yake mzazi huko Minnesota Marekani Februari 14, 2010.
Mipango ya kusafirisha maiti inaendelea na Msaada wetu Watanzania unahitajika. Zinahitajika dola ($12,000 ) kwa ajili ya gharama za kuusafirisha mwili wa marehemu Nyumbani Tanzania.
Tunaombwa sote tushirikiane na mwenzetu.
Tunaweza kufikisha michango yetu kupitia kwa :-
Tunaweza kufikisha michango yetu kupitia kwa :-
Nassor Shabibi
Wells Fargo/Wachovia - Minnesota
account namba- 7291478057
Na
routing number ni 091000019.
Na kwa maelezo zaidi wasiliana na wafiwa:
( 651)343-5897.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amen.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amen.


Pole sana Mkamiti japo najua sina uwezo wa kukuchangia lakini naomba Mungu akupe nguvu na moyo wa kuhimili msiba huo mzito. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe: Amen
ReplyDelete