Fabak Fashions na MichuziBlog
wanakuletea
Charanga Nite
Leo February 17, 2010 kuanzia saa moja jioni
Savannah Lounge ya Paradise City hotel
(Ghorofa ya 3 Benjamin William Mkapa Towers - Zamani Mafuta House)
Azikiwe Street
Dar es salaam.
Zawadi kutolewa kwa wataocheza vizuri
KIINGILIO MGUU WAKO
YAANI BUREEEEE!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kaka Mithupu!
    Hapo umenigusa mimi na wenzangu kwa sana.Tunatamani sana tungekuwepo Dar leo lakini huku tunduru sijui tutafikaje. Tunawatakia kheri woote kwa onesho hilo. tunaomba hata ka clip tujipe raha hapo kesho

    ReplyDelete
  2. teh hapa ni kukaaga mkao wa kula tu teh teh!!!

    Mdau wa Pajazzzz+titizzzz

    ReplyDelete
  3. Brother Michuzi na da Asia, sasa tangazo si mngetoa siku mbili tatu kabla ya tukio? Next time tustuane mapema.

    t.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...