Usipoteze muda, mpeleke mwanao akasome Foundation Mwaka mmoja kisha anajiunga na Degree moja ka moja (kutegemeana na matokeo ya foundation)Kwa Degree za UK, USA, CANADA au Australia.
Wasilaiana na :0713 666616au
Tuandikie

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. wataenda wengi huko. malaysia is the new India kwa kuchukua wanafunzi wa TZ

    ReplyDelete
  2. lakini wazazi wawe makini watoto wengi wanjifunza extremism wakiwa baadhi ya nchi

    ReplyDelete
  3. kweli kabisa, malaysia imekua india, na watoto wanaharibikiwa balaa, me nimekaa hapa miaka miwili,na mzazi akiniuliza kama kuleta mtoto huku ni salama, kwa kweli, its not, wanageria huku kibao utadhan wametupwa na wanawaharibu watoto hasa wa kike, be it ana hela au hana.
    Huwzi kujua mpaka uwepo hapa kuona wats happening, hata mimi before waliniambia the place is good,and secured, lakin hamna kitu. Kwa we mzazi ambaye utataka leta mtoto huku,dont rush just because wana offer one year foundation then wanaingia degree, angalia na mazingira atakayoweza kusoma. Fanya research kwanza,
    Wanasema unapata degree za UK,USA, CANADA n AUSTRALIA,it rather umpeleke mtoto hiyo nchi inayo offer that degree, malaysia now vyuo imekuwa market, they dont offer that education,they say they offer.

    ReplyDelete
  4. hizo gharama za huo mwaka ni bora asome bongo miaka miwili kwenye shule nzuri ,unamuona kila siku mwanao unamfudisha mambo mengi ukiwa mzazi then faida kibao kuliko huko malaysia

    ReplyDelete
  5. "depend on foundation results"
    kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  6. Watanzania tunapenda kwenda nchi za nje ila maisha huko sio kabisa na dada zetu huku wanaharibikiwa kabisa yani kama toto hazijatulia kichwani hao Wanaigeria wanavuta na wanakula tu na kama mzazi unajisahau kutuma pesa au uchumi emeyumba daa ndo mtoto wako umemtoa sadaka kabisa!!

    ReplyDelete
  7. Tusiishi kwa formula. Kuharibikiwa au kutoharibikiwa kwa mtu hakuna utegemeo na mahali alipo. Hata ukimpeleka kusoma mbinguni, kama wa kuharibikiwa ataharibikiwa tu. Ni kiasi cha kumtengenezea mtoto mazingira ya kujitegemea na kuweza kuishi bila macho ya wazazi wakati wote. Vipo vyuo vibaya Malaysia ila ni kiasi cha mzazi kufuatilia tu vizuri na agent anayemleta mwanae. Kinachoharibu watu Malaysia hii ni ulimbukeni na kufuata mikumbo isiyo na msingi, kichwa wala miguu. Watu wengi tu wanafanya vizuri maadam wametulia na wanajua lililowaleta.

    Ni hayo tu!

    ReplyDelete
  8. Mdau uliyetoa hii advert mbona umesahau Div 4??? maana najua wale jamaa they are after money

    ReplyDelete
  9. ACHEZI KUPONDA .NDO ZENU WABONGO KUPONDA. MLIO COMMENT UKO JUU HAMNA LOLOTE.KWANI BONGO WATOTO NDO AWAARIBIKIWI. TUNAJUA YANAYO FANYIKA MLIMANI ,Ifm KOTE UKO.MTOTO KUARIBIKIWA NI KUPENDA MWENYEWE. WAPO WANAO SOMA UKO UKO INDIA NA MALAYSIA NA WANA PERFORM VIZURI YU!! MAREKANI NA UKO ENGLAND NDO USISEME.MBONA WALIKUWA WANAWATOA KWENYE ZEUTAMU .KAMA WEWE MTOTO WAKO NI KIAZI NI KIAZI TU HATA UKIMPELEKA PEPONI.PPL U HAVE TO CHANGE MIND UR OUR BUSINESS MNAO KANDA MPO HUKO HUKO MALAYSIA NA INDIA.MANAKANDA KWASABABU HAO WANAWAKE AMWAPATI WAPOPO(WA NIGERIA )WAMEWAZIDI KETE. WANAUME WA KITANZANIA NI WASHENZI SANA NA WAMBEA NDOMANA .MADEMU WA KITANZANIA WAKIJA NCHE YA NCHI WANAWAKIMBIA.

    NIMAONI YANGU TU KAKA MICHUZI

    ReplyDelete
  10. kuna jamaa mmoja hapa tunaye anaponda sana kusoma uku!! hila yeye mwenyewe anasoma uku uku!!! mbona ajasoma uko bongo sasa!! ona mlivyo wanafiki watanzania

    ReplyDelete
  11. Kwa sasa hata wanaoleta wanafunzi India jamani wazazi nawaombeni mtulize akili, somesheni watoto TZ mbona nipo hapa India lakini sioni cha ajabu zaidi ya waalimu kukopi tu kama wa bongo?

    ReplyDelete
  12. yani hiyo nchi inafanya biashara..hakuna kitu..watoto ni kuharibikiwa mtindo mja..bora ubaki na mwanao tz.bora uk atleast people are busy..coz maisha ni magumu

    ReplyDelete
  13. malaysia ni nzuri kwa IT tena kwa baadhi ya vyuo,mzazi fuatilia historia ya chuo ukiona wanakubali div 3 foundation hicho sio chuo sheria huku zipo na zina eleweka, hayo masomo mengine ni bora mbaki bongo tu
    itategemea na heshima ya dada mwnyw kicheche ni kicheche tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...