Home
Unlabelled
NOW, THIS IS WHAT I CALL CULTURE.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hawa ni watu wa makabila ya kusini mwa Sudan
ReplyDeletethis is insane.completely insanity.how could a person abuse their own body lk this.OMG
ReplyDeleteNi kabila dogo linalopatikana mpakani mwa Ethiopia kusini na Sudan.
ReplyDeleteHawa wanaitwa DINKA AU DINKA NOR jamii ya watu wa SUDAN KUSINI pia wanapatikana ETHIOPIA mpakani na SUDAN sasa sana ni jamii ya wafugaji.
ReplyDeleteSipati picha, denda linapatikanaje hapo?
ReplyDeleteYes. Ni wa Sudan ya kusini lakini kuna jamii fulani Ethiopia ya kusini ambao pia wanatoboa midomo yao namna hiyo. Eddy.
ReplyDeleteNi kweli ni watu toka Sudan Kusini kabila lenyewe linaitwa DINKA kwa Kiswahili WADINKA
ReplyDeleteWananchi wa Ethiopia toka jimbo moja sehemu ya kusini inayopakana na nchi jirani ya Kenya.
ReplyDeleteKwa kukusaidia tu ,hawa ni watu wa kabila la Anyanya ni kutoka kusini mwa Sudan .
ReplyDeleteMdau UK.
Sijui hawa ni kabila gani lakini nafahamu wana jamaa zao kaskazini mwa Brazil wanaojulikana kama "people of the moon" wa kabila la 'Zoe'. Hawa wanatunga vijiti kwenye midomo tangu wakiwa na umri wa miaka sita na hawavai nguo (they walk, work, and eat naked). Cha kufurahisha zaidi ni kuwa mwanamke ndiye msemaji mkuu wa familia na anatakiwa awe na wanaume zaidi ya mmoja (waume wa ndoa). One of it's kind, you may need to visit this website: http://www.sguardi.info/index.php?id=224,916,0,0,1,0
ReplyDeletehii inaonyesha n kiasi gani waafrika ni wavivu wa kutumia akili. Aliyeibuni tamaduni hii alikuwa na sababu zake nzuri tuu kwa wakati huo. Kwa mfano, wazungu waliokuwa wanateka watumwa Afrika hawakuwa wanachukua watu wenye midomo kama hii. Kwa hivyo basi, midomo hii ilitumika kama kinga ya kuchukuliwa utumwani.
ReplyDeleteVizazi na vizazi vimeendeleza utamaduni huu bila ya kutaka kujua huyo aliyeuanzisha kwanini aliuanzisha utamaduni huu. Sidhani kabisa kama sasa hivi hawa watu wanayo sababu ya msingi ya kuuendeleza utamaduni kama huu.
Ni kudhalilisha utu wa mwafrika namna hii. Mungu aliwaumba mkiwa na sura za kuvutia kwanini mziharibu kiasi hiki? Ahhhhaaa!Mambo kama haya usitupostie Michuzi kua mzalendo w rangi yako na usiyape support mambo haya
ReplyDeleteI don't wanna look at it again, no.
ReplyDeleteWanawatreat kama wanyama vile, that's bad. Ni warembo hao wana haki kuishi kama hawa tulionao hapa mjini au kule vijijini.
Inahuzunisha sana kuwakandamiza watu kwa kisingizio cha mila.
Hiyo cha mtoto kuna wale akina mama wa kule Burma na Northern Thailand wanaolazimisha kurefusha shingo zao kwa kuwekewa vidani vya nondo iliyoviringishwa shingoni.
Mateso tu!!
halafu hivyo vya wanawake ati wameviwekea urembo sijui ndo lipstick zao duh nachoka kabisaaa!!
ReplyDeleteSasa Anoy hapo juu unamsihi Michuzi asiweke picha kama hivi una maana gani. Hii ni historia ya Afrika iko siku tamaduni kama hizi zitafutika kadri watu wanavyozidi kuelimika. Ikitokea hilo, tutaweza kusema "kweli Africa iliwahi kuwa na tamaduni potofu"...kutokuangalia picha kama hizi hakuondoi tatizo.
ReplyDeleteThat said, hivi huwa wanajikata vipi mpaka kuwa namna hii...nina uhakika hakuna cha dawa ya ganzi wala ya kulala usingizi. Huwa wanatimia nyembe au visu..!!!
Network Engineer (NE),
Reading, UK.
hili ni kabila linaloitwa SURI.
ReplyDeleteSat Feb 27, 02:53:00 AM, Sat Feb 27, 07:25:00 AM, mmeonesha ni jinsi gani mlivyokuwa watumwa wa tamaduni za watu wa magharibi, kwako wewe ni mila mbaya kwao ni mila nzuri. Jaribuni kuheshimu mila za watu kama mnavyoheshimu dini za wengine
ReplyDeletehuwezi kuamini according to culture zao mwanamke mwenye domo kubwa zaidi ndie mzuri na anaolewa kwa mahari kubwa,wanashindana kuvuta midomo ili wapendwe,(from National Geographical report)sasa kazi kwenu
ReplyDeleteYa Rabana
ReplyDeleteI felt pain just looking at these pictures. This is abuse of the body, its sacrilegious. If the human body is a temple as the wise ones say, this then is like urinating at the temple door
Wakatabahu
nakuoneni waosha vinywa na macho mmekomalia kicha issue hii,well nakuambieni hata na nyinyi watanzania mna makabila yenu ya kiajabu ajabu so msitukomaliye vichwa na kabila letu,mimi ni msudan halisi and iam proud to be a dinkan.
ReplyDeletehii inaonyesha jinsi gani watanzania tulivyo nyuma kupata habari, mbona hili kabila linajulikana sana na picha hizi sio mara ya kwanza kuonekana zilikuwepo toka zamani katika vitabu vya historia na wala sio michuzi kazivumbua leo..ni kabila la dinka kutoka kusini mwa sudan..haHaHAaaaaaaa
ReplyDeleteMkitaka kufahamu kuwa wengi huwa tunafanya utafiti unaoelea ni hapa sasa. Mashaka tia timu hapa ukioanisha picha zako ulizopiga ndo utajua jamii unayoiomba itambue "dual citizenship" ikoje. Wajanja watageuka kuwa mafisadi tu, my friend this is Africa, we have to start from the ground, siyo jamii iliyokwishaandaa mazingira na miundombinu ya mambo kutekiofu (take-off. Unategemea hapa hapa diaspora kupata rep kwenye vyombo kama bunge!!, kwa tija ipi inaliyowafurahisha watoboa midomo na katika demokrasia ya uwakilishi!!.
ReplyDeleteEBwanaee, mbona hawa ni wamasai kutoka Arusha? na wakati wanakula huwa wanaweka chakula kwenye hiyo bakuli, yaani watafurahisha sana wanapokula... huu ni utamaduni nzuri sana wa kiafrika.
ReplyDelete-kokoliko
Hili ni kabila kutoka Omo valley ethiopia, na linaitwa Mursa! 100 percent sure.
ReplyDeletenana
Kila siku tunalalamika watu wanafuata tamaduni za kizungu sijui nini, haya hizi ndo tamaduni za kiafrika jamani tuzifuate sasa si kushangaa maana za kizungu mbaya sana, hizi ni safi kuliko.
ReplyDeleteSoma hitoria yao hapa:
ReplyDeletehttp://www.gurtong.org/resourcecenter/people/profile_tribe.asp?TribeID=94
michuzi mbona unatuchekesha.....hawa si wachagga wa same?
ReplyDeleteWAKATI NAKUWA MIAKA YA MWISHO YA SITINI (1960s) MKOA WA MTWARA KULIKUWA NA WATU WACHCHE WA AINA HIY0 WAZEE NAHISI WALIKUWA WAZALIWA WA MAIKA YA MWISHO YA 1800 TO EARLT 1900 WALIKUWA NA NDONYA KAMA HIZO NI KABILA LA KIMAKONDE, YAANI WAMAKONDE WA TANZANIA SI WA MSUMBIJI, WAO WA MSUMBIJI WALIKUWA NAZO LAKINI ZA KWAO ZILIKUWA NDOGO KIDOGO, NILIWAONA PIA KWANI WENGI WALIKUJA KAMA WAKIMBIZI KUKIMBIA VITA NA MRENO MIAKA YA 1960 HADI 1970. LAKINI KWA SASA NI UTAMADUNI UMEFUTIKA KABISA KWA NDUGU ZETU WA KIMAKONDE WA TANZANIA, NAHISI HATA WA MSUMBIJI UMEFUTIKA PIA. PAMOJA NA HAYO ZA KWETU HAZIKUWA KUBWA KIASI HICHO
ReplyDeleteHAWA KABILA LAO LAITWA SURMA ! WAPO NORTH WEST YA ETHIOPIA NA KWA WANAWAKE IKIWA HIYO PLATE YA MDOMO WA CHINI NI KUBWA ZAIDI BASI UJUWE NA MAHARI NAYO ITAKUWA KUBWA PIA !
ReplyDeleteMzushi
Kuna ya ajabu katika tamaduni nyingi bara la afrika lakini hii bomba haswaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteMbona hawa ni wanachama wa chama tawala, tawi la hapa uingereza
ReplyDeleteafu ni wanawake tu,,,jamani!
ReplyDeleteni kweli hii inaonyesha ni jinsi gani waafrika wasivyokuwa na ufahamu,walioanzisha hii kutoboa midomo au kuchorachora miili ni kwa ajili ya kuepuka kuuzwa kama ilivyokuwa badala sasa ya waliosalia baada ya utumwa kwisha kugundua njia nyingine za kuepukana na utumwa mpya uliopo wanaendekeza yaleyale ya zamani,kuchorachora na kukata mamidomo.
ReplyDelete