vijana wa zamani wa Rungwe Oceanic, Mbowe RSVP, YMCA, Studio 35, Biribi, Em Three, Africana, Moon Dust, Silversands, Vision 1900, Valentino, Cave Disco, na kwingineko kazi kwenu....Wenye data zaidi za enzi hizo msaada tutani. maDJs Luke, Mao Lwangisa, Jesse Malongo, Emperor, Seydou, Yaphet Kotto, Mr A, Super Deo, Pop Juice, Franco Soferino B, na wengineo kibao mpoooo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Djs John Pantalakis, Young Millionaire

    ReplyDelete
  2. Modern Taarab za kina Yusuf Mzee na wengine, wakifanya mapinduzi ya kuwa wana miondoko kama ya hawa jamaa, basi Modern Taarab (Mipasho) ingetambulika KIMATAIFA.

    Maana kama kujiremba, nguo za stadhi wanapendeza, ila kule kuima wakiwa wameketi muda wote Taarab haitaingia ktk Soko la Kimataifa.

    Nawaomba vikundi vyote vya modern Taarab waangalie video za miziki ya zamani ya wamarekani weusi jinsi ya kulimiliki jukwaa, na hakika watakubalika sio Afrika Mashariki na Oman bali Ulimwengu mzima.

    Mdau
    Mipasho

    ReplyDelete
  3. Ankal umetufurahisha vijana wa zamani.

    ReplyDelete
  4. albert makoyeFebruary 26, 2010

    ee bwana mbona hujamsema DJ WO WOJACK-yaani Richard Mazula ambaye sa hivi anafanya UN Tel-Aviv,DJ holela ambaye sasa hvi Businessman,Dj kalikali[Rip], Dj Paul Mcghee,Dj Richie Dillon,Dj Eddy Sally[Rip], DJ luis.. na DJ Kim and the BOYZ[rip]..wajanja walikuwa wale jamaa wa mwanza [SUNRISE STUDIO] group yao wakiwa na Bob spear,usisahau Jesse alianzia MOTEL Agip na Joe[Md clouds] wakiwa na Eliud Pemba..baadae new africa 7th floor na pale Twiga Hotel summit na poolside je!!..umesahau k2 YMCA DJ Masoud Masoud aka yake nani vile?...endelea na ww

    ReplyDelete
  5. Sevu chuma bee,nimechacha ile ngumu....unajua tena mabitozi zamani lugha ya bibi haipandi umenikumbusha mbali sana Michu naona umesahau NGAZI MOJA OYSTERBAY

    ReplyDelete
  6. huu ndo ulikuwa muziki cku hizi hakuna muziki ni chewing gum unatafuna halafu unatema unakwisha ladha mapema

    ReplyDelete
  7. Mambwewe na Runge

    ReplyDelete
  8. Albert makoye Eliud pemba alikuwa mcheza break Dance sio Dj alikuwa anawasaidia kubeba vyombo tu pale

    ReplyDelete
  9. Naona waungwana mumeelekeza huo urais upande mmoja tu , kama kuangaliwa vichwa vinavyofaa hata Zanzibar, nina kwa wale amabo wanaifanyia kazi Seriakli ya Zanzibar au ata wapinzania kwa upande wa Zanzibar.

    1. Spika Kificho
    2. Dr Bial
    3. Balozi Ali Keume
    4. Sheni
    5. Shamsi
    7. Shamhuna
    8. Harouna
    9. Hamad
    10.Karume

    ReplyDelete
  10. Thom Kivugo, MorogoroFebruary 26, 2010

    Bila kumsahau DJ Kessy DK wa Moonlight Disco pamoja na wajanja wa DSA(Dar es salaam School of Accountancy)akina Lutfi, Nuru Kyelula, Moh'd Maftah, Amos Mkeni, Nick Ramadhan Juma, Hamim Massoud, Meckline Ndembeka, Neema Gunzareth, Zaitun Kayugwa (RIP), nk

    ReplyDelete
  11. Keys Hotel. Jina la DJ nimelisaau

    ReplyDelete
  12. Miss Lang'ataFebruary 26, 2010

    Mbona amjamuandika the best dj in town SALIM CHOGGY aka DJ CHOGGY SLY(R.I.P), Nyie bwana, kujifagilia tu!!!

    ReplyDelete
  13. At the control is dj junior challenger and roma pop juice dj of the world.....wee acha tu ..silversands nk

    ReplyDelete
  14. Bila kusahau Helenic Club,Italian Club na Sea View hotel...Wee acha tu huo ulikuwa wakati mwingine jamani!

    ReplyDelete
  15. Holiday brothers tulikuwa kiboko yao

    ReplyDelete
  16. Yaani mmenikumbusha mbali sana enzi zetu za Sea view disco, Italian club na Siversands. Enzi zile tulikuwa vijana very natural tunajivunia nchi yetu na tukikutana wote tunafurahia mziki hata kama hujafika Namanga, Kampala, London n.k. Siku hizi mtu haongei kiswahili ibila kupachika kaneno ka kizungu ukiuliza eti kakaa n'gambo kiswahili hakijui. Enzi ni zile pia nakumbuka Les Strockers band ikituburudisha sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...