Home
Unlabelled
profesa mwakyusa azindua bodi mpya ya taaisisi ya utafiti wa magonjwa ya binaadamu- NIMR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi,
ReplyDeletenaomba urekebishe hiyo habari. Jina la Katibu Mkuu Blandina Nyoni halitakiwi kutanguliwa na 'Mh' "ki-itifaki"Huyo siyo Mheshimiwa hata kidogo. Hivyo vyeo vina watu wake. Nao ni Mabalozi, Wabunge, Mawaziri, Majaji...Makatibu Wakuu sio waheshimiwa labda tu kama ni Mabalozi...tafadhali rekebisha hiyo na kama una utata wasiliana na Wahusika ambao ni Itifaki ktk Wizara ya Mambo ya Nje.
Hivi vyeo vimekuwa vikitumika kimakosa sana siku za hivi kabribuni,
Asante Michuzi kwa updates, taasisi hii inaitwa "TAASISI YA UTAFITI WA MAGONJWA YA BINADAMU"="NATIONAL INSTITUTE FOR MEDICAL RESEARCH(NIMR)"
ReplyDeleteAsante
UPO JUUUUUU DA MWELE, UPO JUU!!!UNATUONYESHA MFANO MNOOOOOOO, BIG UP SISTA.
ReplyDeleteWADOGO ZAKO
U.K
CORRECTION
ReplyDeleteINAITWA TAASISI YA TAIFA YA UTAFITI WA MAGONJWA YA BINADAMU
Da edith, miaka mingi sana hatujawasiliana tangu miaka ya form six.....du...
ReplyDeleteDk. Mwele hongera sana, Mwenyezi Mungu azidi kukufunulia baraka. Amina.
ReplyDelete