Radio Times 100.fm inapenda kuwaataarifu Vijana wa Kitanzania wenye umri kuanzia miaka 20 hadi 35 elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea kuwa kuna nafasi za kazi kwa kijana mwenye kipaji na sifa za kuwa mtangazaji wa Radio ya burudani, kama unapenda kuwa mtangazji na unakipaji tuma maombi yako kwenda kwa

MENEJA MKUU
RADIO TIMES 100.5 FM
DAER ES SALAAM

Leta maombi yako katika ofisi zetu zilizopo mtaa wa Lugoda gerezani area katika kiwanda cha magazeti ya Majira na Dar leo ( Bussines Printers) au tuma kwa email
kwa maelezo zaidi piga simu namba
2128555

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. LOL!kweli bongo tamabar..., yaani kazi ni ubwete tu haiitaji taaluma yaani kama unahisi unakipaji we nenda pata kaz hahahha,nimeipenda hiyo lol!

    ReplyDelete
  2. wewe wa kwanza hapo juu akiweka mashariti atawalipa nini wakati anataka mwisho wa mwezi laki mbili inclusive P.A.Y.E and nssf hiii ndo bongo bwana.Epa kotekote sio Bot tu

    ReplyDelete
  3. HIYO DAR ILIVYOANDIKWA, KWELI WEWE NI MTANGAZAJI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...