Mlinzi wa timu ya Miembeni ya Zanzibar, Ally Rajabu (kushoto) akichuana na mshambuliaji wa timu ya Petrojet ya Misri, Osama Mohamed, katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar Ijumaa. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Afadhali sasa Osama anapiga gemu.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  2. karume boys mumenifurahisha sana sana big up.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...