Ukisafiri siku hizi huna haja ya kuvaa nguo, maana Uchunguliaji umepitiliza kwenye maeapoti..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. Duh! Tukija kufikia hali kama hiyo, basi hata kusafiri sasa itakuwa shida kweli kweli.

    ReplyDelete
  2. Uncle Misupuu... I just cancelled my trip to Bongo Land. I sure cant take this. LoL!

    ReplyDelete
  3. pale Amsterdam nilishuhudia mama wa ki-Tz alipigwa search mpaka wakawa wanamshika matiti na sehem zingine nyeti tena askari wa kiume, yule mama hadi alitoa machozi. ilipofika zamu yangu nikawa nimefungua kabisa zip ya jeans halafu nikawachimba mkwara kwamba nataka kuvua nguo zote, mbona waliniacha hata hawakunipapasa.wakat mwingine wanakuuliza are u from nigeria? kabla hawajaangalia hata PPT yako.

    ReplyDelete
  4. natamani kufanya kazi airport

    ReplyDelete
  5. Mambo yenyewe ndio kama haya, kheri kombe la Dunia niliangalie home 2. Aina aja ya kwenda kumpiga mgambo eapoti, uwende jela bure wakati una familia inakutegemea. Maana unaweza kushikwa tako ukapaniki matokea yake unawapiga wagambo afu so linakuwa lako. N,way just comments. Mdau from Kigogo Mbuyuni ktk ma2ta awashushi cku hz

    ReplyDelete
  6. tatizo sio askari wa asterdam haya yote yanasababishwa na hao watu wa itikadi kali yaani wao kila siku wanawaza kuua watu wasio na hatia sijui wataenda mbingu gani?

    ReplyDelete
  7. tena bora wafunge hizo scanner za kuona mwili sehemu zote ila watu tusafiri kwa amani maana hao alkaidi wanatisha kuliko ukimwi

    ReplyDelete
  8. Ina maana huko hakuna Masekiuriti ya kike? kwani shida umeongoznz na Mkweo halafu mambo yanakuwa hivi.

    ReplyDelete
  9. hiyo kitu ni kwa watu weusi tu ... sizani kama rangi nyingine wanafanyiwa namna hiii am telling you ina uma sana ..

    lakini kile kijamaa cha nigeria kimeharisana mamboooo uwiiiii

    ReplyDelete
  10. hapana kwakweli ni kugoma tu km mwanamke taka askari wa kike akusachi na km mwanaume basi askari awe mwanaume!!bora kweli waweke tu ma-scanner yacheki nyuchi zetu basi,,aaaaaaaaaaaaah

    yote aya ni ujinga na umbumbumbu na roho za shetani za watu wa ITIKADI KALI wanaotaka kuua raia tu

    ofkoz mbingi ya Mwenyezi Mungu hawana,ni jehanam tu,,,

    ReplyDelete
  11. Abiria wa kike asachiwe na mwanamke, na abiria wa kiume asachiwe na mwanamke pia, teh teh..ni bora mwanamke anishike tako kuliko mwanamme mwenzangu, ..na mwanamke akinishika sehemu nyeti nayo ni burudani tu!!

    ReplyDelete
  12. PALE AMSTERDAM KWELI KUNA USANII WAKIAINA.KUNA KAMPUNI YA NJEE IMEPEWA ZABUNI AIRPORT.MARA NYINGI WAFANYAKAZI WA IANA ILE WANAKUWA WANAKOSA NIDHANMU.MIMI NILIPOFIKA PALE NIMECHUNGUZA KWA KARIBU SANA WANAA UPUNGUFU WA NIDHAMU.KWANZA HAWAMJALI KAMA MTU MLEMAVU MZIMA...WEWE UMESHAONA WAPI MLEMAVU ATOKE KWENYE KITI CHAKE WAMKAGUE..HUU SII UONEVU..BASI NDIO YALITOKEA PALE DECEMBER2009.LAKINI SI WALAUMI NI WAVUTA BANGI BANGI ZINAWAZINGUA...

    ReplyDelete
  13. ineed to change my job.

    ReplyDelete
  14. SWALA HAPA NI SIMPLE TU! KWANI NI WATU GANI WANALIPUA WATU......!!!? JIBU UNALO!
    BASI WAO NDIYO WAFANYIWE UCHUNGUZI ZAIDI AU WAWEKEWE VIGEZO ZAIDI VYA KUPATA VISA, HAMNA HAJA YA KUWAUMIZA WATU WOTE KWAKUWA TU TUNATAKA KUONYESHA JAMII KUWA HATUWATENGI WAO WENYE IMANI HIYO YA KULIPUANA.

    USTAARABU NA AIBU KWA JAMII NDIYO UNAFNAY NCHI ZILIZOENDELEA KUZIDI KULIPULIWA KWAKUWA WANASHINDWA KUWAKEMEA NA KUWACHUKULIA HATUA HAWA WATU WENYE IMANI HIYO KWA KUOGOPA KUSEMWA AU KUONEKANA WANABAGUA!

    Ndugu zangu tujaribu kuwa wazi hapa.


    TO HELL WITH THAT! THEY TREAT US LIKE ANIMALS.....TREAT THEM THE SAME WAY TOO.....

    NB: INGAWA HAIJA HALALISHWA, HIVYO NDIVYO ITAKAVYOKUWA KWA WATU HAWA, HASA AKAMA JAMII YA WATU HAWA HAWATAWAPIGA VITA WAUMINI WENZAO WANAOWAFANYA SAMAKI AKIOZA BASI WAMEOZA WOTE...............THE FACT IS....IT IS HARD TO PICK AMONGST THEM!

    ReplyDelete
  15. TATIZO WAZUNGU WAMEJAA UNAFIKI MTUPU KWANI WANAWAFAHAMU WOTE WABEBA MABOMU NA MILPUKO YA KUUA WATU WASIO NA HATIA KWA SABABU WANAJIFANYA WAO NDIO BINADAMU WASTAARABU HAPA DUNIANI WANAOGOPA KUWAPA LIVE KWANI ITIKADI KALI WOTE WANATOKA NDANI YA DINI ILA DINI YOTE SIO WOTE WANAKUBALINA NAO YULE MNIGERIA NI MTOTO MDOGO TU ILA KWA KUWA ALIKUTANA NA VIONGOZI WABAYA WA DINI KULE UK WAKAMJAZA UJINGA KICHWANI IT IS VERY SAD NA HATUJAWAHI KUSIKIA MAANDAMANO YA KULAANI ITIKADI KALI HATA SIKU MOJA?ILA ITIKADI KALI WAKISHAMBULIWA UTAONA MAANDAMANO HADI BONGO

    ReplyDelete
  16. kuwapekua waafrika kiasi hicho hiyo ni danganya toto tu ni kweli kuna jamii fulani inahitaji kupekuliwa kiasi hicho maana kama unasafiri na ndege hiyo jamii akipanda mmoja tu watu wote wanakosa amani humo ndani ila kumtoa hamuwezi kwani naye ni mtu

    ReplyDelete
  17. kipi bora kukaguliwa na askari wa jinsia tofauti na kulipuliwa kwenye ndege?mbona hospitali daktari wa kike anamvua nguo jibaaba zima kama unaumwa?

    ReplyDelete
  18. HUWEZI KULINGALISHA DAKITARI NA ASKARI DAKITARI NI KUWA ANATAKA KUPONYA ROHO YA MTU SI ASKARI, FANYA CRITICAL ANALYSIS YA MNYUMBUISHO WAKO NA ULINGANIFU WAKO NI SCENARIO MBILI TOFAUTI

    ReplyDelete
  19. michu comment yangu umetupa kapuni siyo no sweet

    ReplyDelete
  20. jamaa anasema kweli kinachoongelewa ni kushikwa nyeti.bola askari kwa kweli maana hatagusa tu,lakini daktari ataisambua . kwaheri

    ReplyDelete
  21. 03:22:00 PM na 09:14:00 PM

    sawa kabisaaa mmemaliza yote,,,ni kazi kweli kukaa ndegeni na jamaa anayefanana na itikadi kali ingawa aweza kuwa mtu wa kawaida tu,sema wezao walipuaji wamechangia huu upupu duniani

    me zulkhan ila inaniuma sana kweli unapoona watu wanakutolea JICHO kisa jina langu au vazi langu tu..naswali sana mwenyezi awafumbue macho walipua mabomu kwakwel

    ReplyDelete
  22. kaka michuzi watoa comment wako wana mambo jamani maana wananichekesha sana hahahahahahahhaha loh si mchezo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...