Mwanaharakati wa masuala ya kijamii Shy-Rose Bhanji akiwa amebeba watoto mapacha Hussein na Hassan alipokuwa katika hospitali ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam jana kutoa misaada mbalimbali ikiwemo vyakula kwa wagonjwa waliolazwa yenye thamani ya sh. milioni 1.3 ikiwa ni sehemu ya kusheherekea siku ya wapendanao. Kushoto ni mama wa watoto hao Asia Salehe.
Home
Unlabelled
shy-rose asherehekea valentino hospitali ya mwananyamala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Yeah Shy...safi sana kwa jitihada zako,shughuri kama hizo ni muhimu sana kwenye jamii yetu ... all the best for what your doing and be blessed...
ReplyDeleteDr.Balilemwa
Hongera kazi nzuri sister!
ReplyDeleteUtagombea ubunge mwaka huu sister? tukuunge mkono
hongera sana mwanaharakati
ReplyDeletewatoto wazurii jamanii!hongera mama wawili na sister shy
ReplyDeleteHongera dada Mungu akutangulie katika kila jambo, Amen.
ReplyDeleteJoshua
watoto wazuri mashaallah
ReplyDeleteShy naona mambo yamechanganya njia hiyo ni mzuri kusaidia jamii ni kipaji endelea hivyo hivyo... huyu Dr. Balilemwa siyo Bube kweli jamaa tumesoma wote Lake sec..naona kaisha kuwa doctor..ni vizuri kuona classmate wako wa juu...
ReplyDeleteMdau A-level lake secondary 1989
This is so beautiful Shy-Rose! Keep it up sister.
ReplyDeleteHIYO NI KAZI NZURI, SI MPAKA UWE MBUNGE AU RAIS NDO UTOWE MISAADA KWA KUTMIA PESA YA UFISADI HATA WAFANYAKAZI WA KAWAIDA TUWE TUNATOWA MISAADA, KAZI NZI DA SHYROSE. ONCE I GAVE HER SOME SUGGESTION ON HER FACEBOOK KWAMBA ANA NAFASI KUBWA SANA KATIKA JAMII AITUMIE KESAIDIA WATU HUYU DADA NI MTU WA WATU, TUMUUNGE MKONO HATA KAMA ATATAKA KUGOMBEA KITU MWAKA HUU
ReplyDelete