from mdau wa vietnam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hapo sawa mdau! Yaani hii kali na ikitokea bongo wadau wataacha kuvuta sigara! Naikiendelea wadau wataishi bila ya kuwa na mapafu, tunapishananao mtaani kumbe mapafu yalisha ondoka kwa kukerwa na moshi wa sigara!

    ReplyDelete
  2. yaaaaaaaaaaaaaaaani hahahahahaa bado nacheka sana sana

    hahahahhaaaaaa

    mweee jamani sigara zinaua acheni kbs,addiction inabidi mkaudhurie counselling session muache

    ReplyDelete
  3. Basi tieni siginecha!!
    www.globalink.org/petitions/tanzania2

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...