Home
Unlabelled
namna ya ku-beep mauti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kigali, Rwanda au Bujumbura, Burundi
ReplyDeleteNaona AZAM KWA MBALI ILA KAMA SI MWANZA BASI NI KAMPALA UGANDA AU ENTEBE. DUNGA. VANESSAAAAAAA NIMECHOKAAAAAAAA WEWE KILA SIKU UKO NA TERRY KUMBE NISHACHOKAMIE.
ReplyDeletehapo nafikiri ni Magamba-Lushoto kwa mghoshi shehoza
ReplyDeleteHapo ni mfareji maringo zanzibar! umeme hakuna wiki ya ishirini sasa!!network ni shida kupatikana... minara yote ya simu haifanyi kazi...mdau kapanda hapo juu ili awasiliane na wadau wenzake wa bara kuhusu issue ya kuvunjiwa nyumba yake kipawa...alitaka labda Jerry Muro aitoe kwenye kipindi maalumu!! hakuna hatari yeyote hapo juu kwani wire hazina umeme na mawasiliano ni muhimu sana!!!!!
ReplyDeleteHapo ni Mbinga, mkoani Ruvuma na inaelekea mdau anasaka network ya TTCL Mobile!!
ReplyDeletehapa itakuwa kigoma tu
ReplyDeleteHapo ni Mafinga Iringa au Njombe.
ReplyDeletekiongozi hii pic sio bongo.
ReplyDeleteAma kweli hapo ni kebeep life hili, by the way waweza kuta ka umeme kamekatwa ndio maana anaonyesha umwamba wake
ReplyDelete>>>Revec<<<
Hizi simu za CHINA trouble sana, mdau hapo ndio anapata network coverage ya kiselula chake. Michuzi hembu mkumbushe asisahau kuita fire rescue team akimaliza kuongea na demu wake kabla hajaanza kufikiria kushuka chini maana kuna possibility ya 200% kutofika akiwa anapumua au kama vipi itabidi apige kambi hapo alipo.
ReplyDeleteJamaa anaweza kuwa amejitolea kuwa kafara kwenye dua za kuomba mvua.
ReplyDeletekama si Bujumbura basi ni Kigali
ReplyDeleteaccident waiting to happen
ReplyDeleteHapa mdau itakuwa morogoro au Kampala!!! mshikaji maisha kwake si kitu kwani juzi ktk taarifa ya habari yule jamaa was hinyanga si mmemuona yupo tayari kukaa barabarani na kufa!! Arican life inachanganya hadi watu wanapoteza thamani yao mdau!!! Mshikaji anaweza kuwa hana damu kwahiyo umeme kwake sio tatizo!!! Kama ni kubeep kifo sio !!!! mshikaji atakuwa anapiga kabisa ila sema Israel hajapokea!!! hizo zote ni misscall!! akipokea jamaa hatapata taabu ya kushuka kama alivopanda!!!
ReplyDeletemtu huyu kapanda juu kupata reception nzuri ya network ya simu as chini no network
ReplyDeletesi mnaona anaongea simuni
yaweza kuwa kokote africa
ukisikia watu kucheza ngono bila kinga maana yake ndo hii, yaani nyama kwa nyama, yaani kushika waya bila glovu.
ReplyDeletepiga ua hapo wako ktk mgao
Hiyo ni KAMPALA, Uganda.Haina ubishi.
ReplyDeleteMdau Denmark
ebwanaa eeh faza mithupu hapo ni jiji letu kigali rwanda.senkyu!!!
ReplyDeletemdau kigali makazi boxini
ahhh! nyie vp? hapo ni NewYork, ama London! huyo jamaa alikuwa anawasiliana na ndugu zake TZ, si unajua tz kila kitu ovyo, umeme nk. nadhani aligundua njia ya kuwasiliana na ndugu zake akiwa NewYork ni kupanda hapo juu,kuna siku alinipigia simu akiwa hapo hapo. haya anayetaka kuiga,aige!!
ReplyDeleteSomewhere in GHANA.
ReplyDeleteHapo panaweza kuwa popote lakini lazima iwe kwenye nchi ya watu weusi.
ReplyDeleteANKAL HAPO MIMI SIFAHAMU NI WAPI
ReplyDeleteHapo ni Zanzibar, umeme umekatika kama miezi sita iliyopita sasa hivi, hivyo hata ukikaa kwenye mistimu ya umeme hakuna athari zozote.
ReplyDeletehapo ni morogoro
ReplyDeleteHapa ni nchi yoyote Afrika, ila huyu jamaa ni mfanyakazi wa shirika la umeme la nchi hiyo, amehakikisha amezima yeye mwenye umeme kwa matengenezo halafu ajifanya eti ni mbabe aogopi kunasa.
ReplyDeletehapo ni morogoro
ReplyDeleteWote mmechemsha huyi Kishoka wa TANESCO maeneo ya Kibamba, namfahamu mimi, Hakuna hatari yeyote hapo, anawaelekeza jamaa yake wawashe umeme baada ya dakika tano hivi. Hapo line fake imeishaunganishwa na fedha mfukoni mwake. Si mwaona kila mara umeme unakatwa bila taarifa na baada ya dkk kumi warudi bila taarifa pia. HABARI NDIYO HIYO.
ReplyDeletehapo ni iringa mjini, anatafuta joto
ReplyDeletehapo ni iringa kijij kimoja kinaitwa kalenga na ndani ya kalenga kuna kijiji kingine kinaitwa mkoga !!!
ReplyDeletemsilete ubishi .....
Kama Lushoto - Ukiwa unatokea Magamba...
ReplyDeletehapo ni KACYUCIRO kigali RWANDAAAA..
ReplyDeletemurokoze chane!Bitessss
MBONGO ndani ya RWANDA
Hapo wadau panaitwa "Mshindo" ni eneo la iringa mjini karibu na kanisa kuu katoliki linaloonekana kwa pembeni. naamini mdau umeelimika
ReplyDeleteJamaa ana body inzuri!
ReplyDeletePicha ya kuchonga!! Imekatwa vizuri kwa kutumia photoshop editor na kubandiwa!!!
ReplyDeleteHapo Ni ANgola waheshimiwa nilipost mimi nilikuwa huko kwa mpira CAN 2010 hapo jamaa alikuwa anaangalia Mpira si unajua umeme wa mgao mwezi mzima. Hizi nchi za kiafrica kwa migao ya umeme ndo yenyewe sio Bongo tu.
ReplyDeleteMTANZANIA HALISI HUYO......
ReplyDeleteAaah..hiyo body ya huyu kaka ni ya kinyasa ni mandhari yananikumbusha Mbamba-Bay,Nyasa.
ReplyDelete