
Pia wanaweza kucheki kwenye link hizi hapo chini:
http://www.youtube.com/watch?v=t0TEkTmIZIw
http://www.youtube.com/watch?v=-WKS2NSTVKc&feature=related
http://www.youtube.com/watch?v=o2ERZas1AHM&feature=related
http://www.youtube.com/watch?v=OmQtIEghUBI&feature=related
http://www.youtube.com/watch?v=zGDU5efXo9w&feature=related
Pia wanaweza kupitia website ya
www.power939.com
mboni anapiga kelele
ReplyDeleteizo meza uko nyuma,yani copy n paste ya meza za hospitali fulani kabisaaaa
ReplyDeleteStan Boi
ReplyDeleteAchana na maanony wa hapo juu, soon I hope you will be a hit in Music Airwaves....
Hawa jamaa hapa juu inabid mjue kukubali Kuappreciate kudadadadeki dogo anaimba vyema na kumbuka hiyo yuko kwenye stage inayojulikana na audience ya kueleweka. Big up sana.
Umeshaona stage za kina alikiba wakienda huko mamtoni, compare and then ndio utoe koment si kusema anapiga kelele, jinga kabisa...
Soon tutakuwa na mwakilishi mwingine kitaifa kwenye music kama alivyo hashim kwenye soka na kina henry joseph kwenye soka etc...
Think and analyse b4 you comment
Sioni msingi wa excitement around this boy.. what has he achieved? A heavily computer aided voice engineering? A photo-shoot with America's normal people. Jamani eeh, wakati wa kutazama mafanikio kwa kuangalia marapper umepita sasa. SOMENI eeh!!
ReplyDeleteakuna kitu.
ReplyDeleteStan Boi, I can't understand what you are saying! Can you upload a clip in Swahili please.
ReplyDeleteMdau
DSM
mdau uliyeleta hii habari wewe ndio unaturudisha nyuma. Kwa nini useme watu hawaamini eti kijana wetu....Such a negative talk is extremely bad!!! Kwani sisi ni watu tofauti na wengine?! Kwani sisi tuna ball moja?!
ReplyDeleteKama kijana anafanya vitu mpe haki yake si kumbeza...WAtanzania wapo wengi wenye ujuzi mbalimbali tatizo ni watu wenye mawazo kama ya kwako.. ambao kwanza kabisa tunajiponda wenyewe sasa nani atatupandisha juu???
Be positive of heaven's sake!!
Mdau
sasa michuzi unatoa link ambazo haziwezi kukopika wala kubonyezeka unataka tuziangalie vipi au ni feki?
ReplyDeleteMbona 90% ya comments hapa ni negative??? Homies, WaBongo?! Come oh man, I don't get it!! This boy is doing his best.. and I think he is really good. Lets try and support US (sorry, us as in SISI and - and not United States).
ReplyDeleteSamahani, naomba nitafasiri hapo - maana sisi tulio huku tumezoea lugha ya mama (Malkia) so nimejikuta automatically nikianza kutype ktk lugha hiyo (msije wadau mkaanza oh unadharau Kiswahili, no, naipenda lugha yetu thank you very much!) - Anyhoo, tafsiri:
Mbona asilimia 90 ya kauli hapa ni hasi??? Ndugu/jamaa, WaBongo! Hima hima!Hainiingi hii! Kijana huyu anajitahidi kadri ya uwezo wake.. Na ninafikiri ni mzuri hasa! Hebu na tujaribu kuinuana (Samahani, US kama sisi - na si Marekani).
Samahani Michuzi, nimeona hii sasa imezidi! Kila anayetoa comment anaponda tu - ilhali ukiangalia Youtube - kijana anafanya vizuri kabisa! Why??? Sijui ni roho mbaya au wivu? Watanzania tupendane jamani!
Mdau Nansio - NB StanBoi - Keep it up homie!! (you can reach me at: survivordeny@hotmail.co.uk - I would like to have a copy of your single/demo - who knows, I might be able to get you some sponsors with/in the people I work with here).
Bongo...the self hate capital of the world! Its a miracle how anyone manages to succeed out of that cursed place, chuki binafsi everywhere!
ReplyDeleteTarehe Fri Feb 12, 10:57:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeletenakubaliana nawe kabisa
SOMENI
SOMENI
Dogo yuko juu
ReplyDeleteHakuna mtanzania yeyote duniani aliwahi ku-perform mbele ya wamarekani.
Alikiba anawakatia viuno madada wa kikenya. Tena anatumbuiza kwenye kumbi kama chumba
Dogo anaingia kwenye halls zenye hadhi ya kati za USA na wanugu wanainua mikono
Kam on wanga. Msifuni home boy. English yake nzuri pia msijifanye mnaua. Mmezoea english ya shule "ati imba kiswahili-nyambaf" Niko US 10 yrs siwezi kuwa na ngeli nzuri kama ya dogo
Gheeeeeeeeee mnaboa wabongo-Roho mbaya. Wote wachawi. Ndomana hatuendelei
Wewe unafanya nn zaidi ya kuponda?
ndio imekuwa tabia zetu wabongo kuponda nakumbuka Hashimu Thabiti alivyoanza hum humu watu walikuwa wanamponda sasa dogo huyo nahuyu sasa hivi mtamsikia acheni wivu mpeni haki yake anajitaidi anahitaji kuungwa mkono na wabongo wenzake sio kuponda tubadilike ni mtazamo wangu tu jamani.
ReplyDeleteI suuport you anony wa Feb 13 5:47:00 watanzania wamezidi roho mbaya. hawawezi kumpa mtu the deserved positive comment. They see negativity in everything. Hata baadhi ya watu from other countries wamenotice hili kuhusu waTZ. We thrive in tearing each other apart while pretending to be in unity and love.SHAME!!!!
ReplyDeletedo you expect us to write down the links for us to watch, how come unaweka links then cant be coopied. HELP
ReplyDelete