THIS way South. English football coach Stewart Hall training South Korean coaches in Seoul last month. A two-week coaches course facilitated by the Football Association of England was part of South Korea’s preparations towards the 2010 South Africa Football World Cup Championship.
UEFA Instructor, Stewart has shown affection to Taifa Stars. Photos: Courtesy of South Korea Football Association

Stewart Hall at work in South Korea
Stewart Hall in action



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. ankal unampigia debe stewart

    ReplyDelete
  2. Hamna kitu hapo...waingereza wenyewe wiligundua kuwa hawana makocha, ndio maana wakamleta Ericsson...lakini pamoja na Steve Maclaren kama msaidizi wake kwa muda wote, alipoondoka na Maclaren alishindwa kuipeleka uingereza kwenye finali za Euro...Wakamleta Kapelo ndio amewapeleka fainali za World cup. Sijui huyu hatakuwa na jipya....tafuteni wajerumani wale huwa wana hata semina za local coaches nje ili tupate hata walimu wetu. Na TFF jipangeni ili mpira wetu hapa ukue....muundo wetu bado ni mbovu...hata makocha wanapata lawama bure.

    ReplyDelete
  3. it looks like changing coaches like shoes can guarantee success in our national soccer team, But wadau i would like to ask this question..."what makes a good coach"? peace.cheers.

    ReplyDelete
  4. akiletwa keshi anyejua mpira wakiafrika mnaonaje? ni mtazamo tu

    ReplyDelete
  5. ningependa kumjibu huyo brother au sister aliye comment kama hamna kitu hapo kuhusu huyu kocha ambaye anaitwa stewart sasa wewe ulitaka kocha gani huyu kocha yupo full qualified to be a coach na yeye ni kocha wa makocha na ndio maana hadi ukaona south korea football association ilimchukua kwenda kuwapa dozi makocha wake wa team ya taifa ambayo inakwenda south africa sasa wewe unaweza kusema nini ina maana wewe unajua kuliko football association of england na south korea think kabla ya kutoa comment huyu ni uefa instructor wacha kuongea pumba stewart is the man for the job he will educate our local coaches and he will run the football coaching courses with the help of football association of england in tanzania so our coaches they dont need to travel abroad anymore everything will be there in tanzania and at last we have a opportunity our tff to work very close with the fa and other european institution i hope stewart get the job and wewe kaka kumbuka in this world is england we creaty football na wanaeshimika world wide na ndio maana hata cheti cha uk kinakupatia kazi anywhere in the world fahamu hilo stewart for tanzania to change and help our football god bless stewart and god bless our tff and our football....

    ReplyDelete
  6. kama yeye ana cv nzuri mbona wapambe wake wanahangaika kumpigia debe kwa michuzi.?huyu kocha hana uwezo hamfiki Twalib Hilal.

    nilichogundua kuna watu wanalazimisha kocha huyu ateuliwe ili wao wapate ten percent.wewe unayesema kuwa UK ndio kila kitu mbona timu yao ya Taifa na hata club za ligi kuu.
    kama Chelsea,Liverpool,arsenal,Manchester City,West Ham makocha wao wageni.

    ReplyDelete
  7. Michuzi usisombwe na wimbi la kumpigia debe jamaa asije akawa kama TRL. Kocha wa kutufaa ni Profesa Victor Stanslescu. Chipukizi aliowaandaa kama kina Charles Boniface Mkwasa, Mohamed Adolph na Juma Pondamali walicheza kombe la mataifa ya Afrika mwaka 1980 na sasa hivi ni makocha wazuri.
    Kina Ndolanga walimboa lakini tukimwangukia anarudi. Aliipenda sana Tanzania na alikuwa na mpango ambao Hall anajifanya aliuasisi.

    ReplyDelete
  8. najibu tena kwa huyo anayesema kuhusu kama uk sio kitu ndio maana timu yao ya taifa kocha ni mgeni sasa kwa kutoelewa kwako tatizo kubwa alikuwa kocha hila lilikuwa ni wachezaji kukosa heshima na walimu wao kutokana na kipato chao cha fedha wanazolipwa na vichwa vyao kupanda kwa kuona wao ndio wao na mwalimu ambaye wala ajacheza wakati wake na kupata publicity kama zao ndio tatizo kubwa lililokuwa linalotokea kwenye timu ya taifa ya england sio kama makocha hawana brother mfumo wa sasa ambao capello anaoutoa kwenye england team ni heshima kwa mwalimu na kufanya yale unayoambiwa na kutii na anayepikwa kutaki over ni stuart pearce ambaye ni mkali amekufuvu kacheza nao wote na ameweza kuwa na pesa wanazolipwa sasa hao wachezaji na dio maana hata wachezaji walikuwa na attitude ya utaniambia nini mimi ni sawa sawa na wachezaji wetu wa sasa wegi wao wanabishana na kibadeni, charles boniface,adolph richards peter tino wakati hata nusu hawajawafikia wakati malegend hao wakati wanacheza na kwa kifupi kaka tanzania inaitaji msaada wa mfumo mzima wa mpira wetu from the players grass roots football to officials etc hatuitaji kocha wa kuja kutufundisha jinsi gani ya kupiga kona au chenga we need someone who can help our local coaches so in the next few years we dont need any foreign coach anymore by the time akiondoka anakuwa ametuachia legacy na kuhusu arsenal,chelsea,westham kweli makocha wao ni wakigeni huo ni uhamuzi wa club sio kama uk hakuna makocha hila nchi yetu inaitaji kocha ambaye hataweza kuwapeleka mbele hao makocha wetu waliopo hapo i mean wapigwe msasa na kwa kifupi twalib hilal hawezi kumfikia stewart hana vyeti kama vya stewart brother kumbuka stewart ni uefa instructor kocha wa makocha elewa ndugu yangu usibishe tofautisha mtu mwenye vyeti vyake na twalib hilal kwa kifupi kwa vigezo vya tff twalib hilal hawezi kupata kwa sababu vitu tff wanavotaka hana hata papic mwenyewe hana lazima hukubali matokeo kama mwenzio kasoma kuliko wewe stewart ni sawa na mbingu na twalib hilal ardhi be fair brother fifa wenyewe wanaheshima the football association na elimu wanayotoa world wide kwa mpira wa dunia uoni hata brasil makocha wake wanasomea fa na kwa kifupi premier league is the best in the world ina maana mpira england hupo na elimu ya makocha inayotolewa fa ndio the best duniani kama hujui sasa umejua ndugu yangu...angalia wenzetu uganda wameendelea kwa sababu ya mfumo wa mpira wa grassroots football na ni mscotish ambaye aliopeleka maendeleo hayo na kapitia fa shame on you kumfananisha stewart na twalib hilal....

    ReplyDelete
  9. Mdau uliyeongelea Prof. Victor chukua tano ngumu ngumu. Huyyo ndiye kocha. Fainali za Challenge zilizofanyika Sudan 1996 Tanzania Bara iliteuliwa kuwa timu bora kwenye michuano hiyo japo iliishia raundi ya kwanza, sababu? Ilikuwa inacheza soka ya kufundishwa.
    Sema mafisadi ndoo ya laga na madeni ya maharage na FAT a.k.a FART au kwa kiswahili ushuzi walimchefua mtaalam huyu.

    ReplyDelete
  10. mpeni timu zamoyoni mogela au wadau mnasemaji?mwananchi ndio hujenga nchi.

    ReplyDelete
  11. Hivi wewe James John ulisoma wapi? Habari yote hiyo itakuwaje sentensi moja? Uandishi wako ndio unawakilishi mawazo yako mfu! Aghrrrrr1

    ReplyDelete
  12. hili ni jibu la aliyeniambia mimi sijasoma kiu kweli kweli sijasoma brother lakini katika hoja ya kusema nani ni bora kwa nchi nalitambua hili na nadhani ukisoma nilichoandika kama wewe kweli ni mtu wa mpira wa dunia utanielewa na sisemi kuhusu mpira wa yanga na simba sasa hata wewe angalia kama huyo mtu aliosema eti twalib hilal ni kiboko kuliko huyo mzungu hapo ambaye hana vyeti vinavotambulika duniani kwa sababu huwezi kuwa kocha kwenye premier league bila kuwa na vyeti alivonavo huyo mzumgu sasa angalia mtu anamfananisha na twalib hilal brother tena nakujibu mimi sikusoma niliishia form one kutokana na wazazi wangu walifariki nikiwa darasa la saba na aliyekuwa anisaidie maisha pia yalikuwa magumu kwake na alikuwa na watoto pia hila najua sisi kama sisi watanzania kwa mpira wetu kukua kwa sasa kocha mzalendo ambaye hata vyeti hana hatupeleki kokote kwa sababu hatakachoambulia ni chuki na kashfa zetu za kibongo tunaitaji msaada wa mfumo mzima wa mpira wetu trust me wadau sisi wabongo tuna unafki wa kijinga sana hata nani hapo umpe bado yale yale mwingine hataleta zengwe kwa nini hajapewa yeye ndio maana namkubali mzilay aliposema kwamba mzawa kwa sasa asiombe kazi hio kwa sababu hanajua kinachoitajika na tff pia wanajua hilo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...