Home
Unlabelled
nakaaya na hussein machozi kuvamia babati
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nakaaya
ReplyDeletevipi rafiki mbona kimya? au ndio tayari tia maji tia maji?? maana kimya kirefu ghafla unaibukia babati??? duh
SAA 9:30 PM .!?????!!!!.....Hapa maana yake nini? Wadau nisaidieni maana sijaelewa huo muda.(au ndio kiswanglishi).
ReplyDeleteHuelewi nn na ww?? kwani hujui muda wa watu wa kujirushaa?? unataka kila kitu utafuniwe tuuu, chekecha kichwa ndugu!!
ReplyDeleteKwa haraka tu inaelekea mtoa maoni wa 03:28:00 ndiye aliyehusika kuandaa hicho kitangazo.Usifunike kombe ndugu kwenye muda ni kweli umechemsha.
ReplyDelete(Kiinglish)- TIME. 9:30 PM (Tike)
ReplyDelete(Kibongo ) MUDA. 3:30 USIK (Tike)
Tangazo liko kwa kiswahili,hivyo kuingiza mambo ya 9 na PM ndipo tatizo linapokuja.
mwendo wa kiswanglishi
ReplyDeletekaaaaaaaaaaaaaazi