Mtembea juu ya waya Hassan Mang'ula akionesha ujuzi wake hoteli ya ufukweni ya Giraffe iliyoko Kunduchi jijini Dar ambako kila jumapili kunakuwa na vivutio vya aina hii. Mangu'la, ambaye ni mmoja wa wanakikundi cha maonesho cha Peace & Love chenye makao yake Yombo Makangalawe, anapatikana kwa namba +255 719 901 929 kwa atayewahitaji
Home
Unlabelled
tanzania's spiderman
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
bongo safety zero, jamaa akianguka kwenye hilo zege lazima apasuke, na muhimbile madaktari wapo bar nani atamshughulikia...
ReplyDeleteRUKSA KUMPA ZAWADI !!!HAAAAAAAAHA KWANI BIRTHDAY YAKE ADI TUMPE ZAWADI!! SI UCHAWI HILA MAZOEZI
ReplyDeleteungekuwa ulaya mjomba ungepewa kweli zawadi!!wabongo awajuhi humuhimu wa acrobat wao wamezoea maigizo kama ya kina the comedy awatumii akili kufikiria !!!
ReplyDeletehuyo mtangazaji anaboa keli...haya sasa...tende sasa...haya sasa ...twende sasa...what? haya sasa....twende sasa...nini sasa? anaboa kweli
ReplyDeleteWABONGO ZIRO KWELI.....HATA HAMUMPATII JAMAA ZAWADI, MNATOA ZAWADI KWENYE MAYENU TU...JAMANI BONGOOO
ReplyDeleteVery nice. I recommend he should come to the U.S.(America) where he will definitely be rich within a year, i mean a millionaire. Tanzania is a country with many talents but the environment is not conducive for its people to prosper.
ReplyDelete....shuhuli inaanzia hapo sasa....
ReplyDeleteSwali la kizushi...
ReplyDeletehapo kati kati ya suruali amevaa chochote kuprotekti nanihii zake?Waya huo...Ohooo!
huyu ni buibui mtu ama sivyo?
ReplyDeleteKuna mfaransa mmoja miaka ya sabini alifunga kamba kati ya yale maghorofa ya twin tower New York (umbali wa 43 m) akiwa juu (urefu wa 417 m, karibia nusu kilomita).
ReplyDeleteKuna sinema kumhusu yeye, inaitwa Man on Wire: http://en.wikipedia.org/wiki/Man_on_Wire
Tazama trailer hapa:
http://www.youtube.com/watch?v=fnA2gt9dNes
Itabidi jamaa aonyeshwe.
Mfaume
Wadau hiyo ni sehemu gani naombeni msaada maana siku nikishuka bongo lazima kwenda kula upepo hapo!!
ReplyDeleteWewe una Insurance kutembea kwenye hiyo kamba? Ukivunja mgongo hapo nani atakulipa?
ReplyDeleteWadau naomba nami kuuliza hapo ni mahali gani?
ReplyDeleteJamaa yupo safi,ila wa bongo kwa wivu tu hata kujali kinachoendelea,wao wanapita tu jamaa anaungua jua tu hapo juu ya kama hata kumtunza Spiderman!
Haya sasa shughuli inaanzia, twende sasa,amevaa mguu wa kwanza sasa anavaa mguu wa pili,twende,haya sasa!kishikuwa papa,umemechisha.
Naomba kupafaham mahali hapo kwa mdau anayepafahamu,twende sasa!
This guy is a master in what he does, absolutely spectacular perfomance!!
ReplyDeleteUnfortunately, kazi yake is not well promoted. He needs a business manager.
Hapo angeweka sound effect, some sound thrills, lighting etc ingekuwa bomba sana.
(US Blogger)
huyo mtangazaji hio ni sauti ya Kingwendu mnamsikia miyeyusho yake hio he he he
ReplyDeleteHaya sasa, shuguli inaanzia hapo sasa, Twende sasa,twende sasa,shuguli inaanzia hapo sasa,haya sasa,wewe Mc gani hauna maneno?nani kakupa mic?haufai hata kua Mc ktk ndoa ya mkeka.
ReplyDeletedahh!!!!Perfomance safi sana CHA AJABU WATU WALIMPOTEZEA KUTOMWANGALIA,KUTOMTUNZA,inasikitisha kwa kweli.Ila angekuwa mtu anacheza uchi wangemtunza mijipesa hadi basi
ReplyDeletewewe (US Blogger) ziro kabisa sasa akiweka business manager na kuweka sound effect atapata hela zaidi au. Wewe huijui bongo. Hiyo gharama ya kumlipa business manager utampa wewe?
ReplyDeletei see michuzi naomba contacts za huyu mtu nije naye us tutengeneze mahhela. nimechoka kunyanyua mabox
ReplyDeletemtangazaji huyu lo!! na nyie mnaouliza hapo ni wapi kwa nini msisome kwanza ishu inasemaje kabla hamjaanza kurukia keyboard?? mshaambiwa hapo ni giraffe hotel karibu na white sand
ReplyDelete07:31:00 PM umenivunja mbavu,,,
ReplyDeletewabeba box vs wala vumbi=
Watoa comments wengi wa hapa(michuzi blog) wanatakiwa wapate "SWAHILI COURSE" mnaongea Kiswahili kibovu kuliko waCongo na Wakenya.
ReplyDeletemi naomba avae jeans au skin tight ndo nitamuona mwanaume!
ReplyDeletedah jamaa yuko fiti c'mchezo!!
ReplyDeleteKaka vipi si ungesogeasogea na kule pande za swimming pool ungepata taswiraz kaka!!!
Mdau wa pajazzz+titizzz
Wewe uanyesema US Blogger ni ziro inaonesha hujui kazi ya meneja.
ReplyDeleteMeneja kazi yake sio kulipwa, meneja anatakiwa awe na mikakati ya kuingiza bila ya hivyo hafai kuwa meneja.