Home
Unlabelled
taswira
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Umei-edit picha kwa kuchanganya rangi..ukazidisha tu ukijani.
ReplyDeleteWacha kudanganya watu bwana, ungeacha natural color tu ingetosha
ebwana eeeehh kunavutiaa kishenzi yaani.usiku unakula ma full upepo wa bahari!hii paradizo ya ardhini!
ReplyDeletemdau kigali makazi boxinki
Now this is twasira.....
ReplyDeletesometimes i used to ask myself why michuzi is so popular while his photo are just normal (Ok)... but something like this is what shows one's talent...
Duuh, iyo cali yaan! Cwa hiyo mkuu unataka kutueleza cuwa kila Jumamosi huwa mandhari inakuwa hivyo? Wacha kuchapia bwana, hata ikinyesha mvua iyo seemu inabaki ivyo ivo?
ReplyDeleteDuh! Kwa hiyo mida hii ndiyo poa kwenda kupunzika maeneo haya maana sioni vibaka wakikatiza au kulikuwa na baridi?
ReplyDeleteKWELI HAMAA MJANJA KACHANGANYA MADAWA YA RANGI...INGEKUWA NIMEZALIWA MIAKA SABA NYUMA NINGESEMA BOMBA...HAKUNA MBALAMWEZI INAYOOWEZA KUNG'ARISHA CHINI KAMA INAVYOONEKANA. LABDA UENDE KWENYE JANGWA....
ReplyDelete